Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
i think u r rightUyo ni mtoto uwezi jadili na yeye hoja ni wakurumiwaπππππ
Naona lugha yako ya hubs imeanza kubadilika.ππ Kuna mtu kuachwa na museumππngombe kwa kelele huwawezi kumbe hawamo hata top 20πππ
Wapatie na Arusha airstrip. Wata changanikiwa.Kisumu International Airport (though no international flight lands there) receives 267,379 PAX
Eldoret International Airport (though no international flight lands there) receives 111,250 PAX
Eldoret International Airport Arrivals, Departures, Contacts
While Mwanza Airport (not international) receives 444,215 PAX
Confluence Mobile - Digital Logistics Capacity Assessments
Inabidi kwa sasa uanze kujifunza mahesabu yakutoaππ Hizo terminal building za kisasa zinaenda kuifanya N'dliji, Bugesera na JNIA kuwa Hub. Hope you understand the meaning of a Hub. JKIA mtabaki na magofu. Kwa sasa Africa is rising lakini naona nyie mmelala. Mtakumbuka shuka kumekuchaπππ
Endelea kujifuraishaππ Greenfield iko wapi ??
Kibanda lakini kinalipa kuliko Kisumu international airport hata Arusha airstrip inaizidi Kisumu
Wewe ndo mjinga zaidi. Direct flights zingekuja vipi tukiwa na congestion kwenye airport. Pia hutaka kuwa na offices na space for lounges ili waweze hudumia wateja wao ambacho kwa sasa terminal 3 itakuwa na hizo facilities. Huo ndo ukweli. Kwa sasa forget about JKIA.nimegundua wewe ni mjinga sana...hakuna kitu kama kuvutia kwa airport...kinacho determine ni watu wangapi watatumia airport flani ni direct flights....kama huna direct flights haijalishi kama airport imejengwa na dhahabu au tanzanite, hakuna atakayeitumia
sina hakika kama unajua maana ya direct flight heheh yani Jay456watt hua unaniskitisha sanaππππhahahaha 310 tourists?πππππ ebu kuwa serious angalau...hapa tunazungumzia largescale aiports zinazo handle mamilioni ya watu we unaniambia ndege mbili zilizobeba watu 300
muda wa kilio umewadia sasaππππππUyo ni mtoto uwezi jadili na yeye hoja ni wakurumiwaπππππ
heheheh kilio kimepata mliajiππππππ
kwanza unajua maana ya direct flight mbona hapo kama unakwepa???ππππnimegundua wewe ni mjinga sana...hakuna kitu kama kuvutia kwa airport...kinacho determine ni watu wangapi watatumia airport flani ni direct flights....kama huna direct flights haijalishi kama airport imejengwa na dhahabu au tanzanite, hakuna atakayeitumia
hvi hapo ndio mwisho wako wa akili ilipoishia kweli??? nimecheka sanaπππππA hub is not about buildings but a strategic location with ease of connectivity and choice of flights to wider destinations. JNIA is far from being a hub in any foreseeable future
Dont be stupid its not about strategic location but about the modernity of the airport and terminal and the facilities it offers. Is Addis very far from Nairobi ?? Another zero brain in the making.A hub is not about buildings but a strategic location with ease of connectivity and choice of flights to wider destinations. JNIA is far from being a hub in any foreseeable future
akikuonesha nitagπππππEndelea kujifuraishaππ Greenfield iko wapi ??
Ume panicππHii design ni moto sana...sidhani ikijengwa kutakuwa na airport ka hii africa mzima...greenfield pia design yake ilikuwa worldclass....za wengine ni kama magreenhouse
hehe anaitaja greenfield kumbe ilikua???? πππππUme panicππ
Kumbe wewe mshamba. Airlines hupenda kwenda kwenye viwanja vyenye facilities za kisasa. They dont want to waste time once they are at the airport. Pia passengers hupenda viwanja vyenye kuvutia(terminals)
Mimi kama ni ngΓ΄mbe wewe ni ndama.ππLose imewafika pabaya. Greenfield iko wapi ?? πwe ni ngombe tu...sasa profit inahusiana kivipi na kuwa hub???? hivi unajua kuwa south african airline inapatwa na losses kila mwaka???
Huyu ajui direct flights zipo zakutoshaππsijui kama unaufahamu wa direct flight juzi qantas imeleta watalii direct flight to KIA 310 touristsπππ ndege 747 imelipia 3 days parking fee hehehe