Na wamejenga bwawa kubwa na umeme unatumika fully at home,hapa TZ gesi ipo wanauza wanategea umeme wa bwawa.Masela wa Dsm wanataka wawabembeleze wakubwa wao ili generator ziuzwe but hook and crook,bado hujagusia bundles na tozo za ewura as if sisi ndo bosi wa ewura,hivi tunawalipa kwa lipiHili nalifanyia utafiti bado