Wakati Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya ilikuwa chafu sana, dampo Kila mahali, barabara mbovu na uhalifu mwingi

Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Tanzania yote ilikuwa chafu. Labda Moshi tu ndiyo ilikuwa Safi. Enzi zile watu walikuwa wanakojoa ovyo kila mahali. Mji mzima haukuwa na vyoo.

Usimsingizie mzee wa watu...!!
 
Jenerali Ulimwengu mtoto wa mama mkimbizi kutoka Burindi enzi za mauaji ya marehemu Michombero.

Mama yake Alikimbia na kuingia nchini Ulimwengu akiwa kichanga.

Mama yake hakuwahi kuukana uraia wa Burundi mpaka anafariki na kuzikwa katika makaburi ya Nyasaka/Mwanza.

Tusimshangae maana nature yake ndio inamponza.
Alikuwa na bado anajiona kama raia wa class tofauti na watanzania wengine wa kawaida.
 
Jenerali Ulimwengu mtoto wa mama mkimbizi kutoka Burindi enzi za mauaji ya marehemu Michombero.

Mama yake Alikimbia na kuingia nchini Ulimwengu akiwa kichanga.

Mama yake hakuwahi kuukana uraia wa Burundi mpaka anafariki na kuzikwa katika makaburi ya Nyasaka/Mwanza.

Tusimshangae maana nature yake ndio inamponza.
Alikuwa na bado anajiona kama raia wa class tofauti na watanzania wengine wa kawaida.
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Kuna aina tatu za viongozi nizijuazi Mimi:- i, Viongozi watendaji
ii, Viongozi wazungumzaji
iii, Viongozi wazungumzaji & watendaji.
 
Mleta mada zinakutosha?

Mkuu wa wilaya ana fungu la fedha (vote)??? Akili hizi mbovu ndiyo ccm wanazitegemea ziwadumishe madarakani
Basi tuwaondoe? Uhalifu ulikithir na yeye ndo mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama

Tunasemaje hausiki? Akili zako ziko wapi?
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia

Kwa hiyo kumbe walioko singida ni kwamba tu wamefurushiwa huko suala ni utendaji mbaya?
 
Huyo jamaa alikua anajiona kapewa cheo kidogo sana wakati ambition yake ilikua kubwa sana kwenye nchi wala sio yake maana alikuja gunduliwa wala sio raia wa nchi hii. Alikua mkimbizi tu.
We Baba yako Mzazi unamfahamu!? Africa continent is for Africans...
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
mzeewaSHY 😆 😆
 
Halafu anavyojifanya sasa hivi kuwa mkosoaji wa viongozi wengine utafikiri yeye uDC haukumshinda!
Kweli ni mkosoaji mahiri na wapo wengi tunamkubali. Kauli zake za kukosoa uozo watawala walivyoshindwa kuzijibu wakamzushia zengwe kuwa siyo raia.
 
Back
Top Bottom