The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Tanzania yote ilikuwa chafu. Labda Moshi tu ndiyo ilikuwa Safi. Enzi zile watu walikuwa wanakojoa ovyo kila mahali. Mji mzima haukuwa na vyoo.Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.
Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.
Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.
#Historia
Usimsingizie mzee wa watu...!!