Wakati Jenerali Ulimwengu akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya ilikuwa chafu sana, dampo Kila mahali, barabara mbovu na uhalifu mwingi

Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
Kama alikuwa hafai kiasi hicho kwa Nini asifutwe kazi kabisa badala ya kuhamishwa tu? Au warangi, wanyaturu na wanyiramba wa singida ndio wanastahili uongozi wa hovyo kwa kuwa wao wenyewe ni wachafu sio?! Huna akili wewe au unaliwa kiboga! [emoji240][emoji240][emoji240]
 
Inawezekana eneo kusafishwa. Ila raia wa hapo, wengi wao wana maneno machafu. Sijui takataka ziliamishiwa midomoni mwao.
Kweli kabisa ndio maana hiyo sehemu ni kama vile ilipigwa bomu la Atomic maana ukitoka maeneo mengine ya jiji kisha uende ilala unaona hiyo sehemu ni kama imepauka haina nuru kabisa !! Maajabu haya !!
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historiu

Unaujua mfumo wa uongozi Tanzania?
DC ana mafungu ya kuendesha Wilaya kws maana ya Halmashauri?
Ukiona mji ni mchafu ujue ni Mkurugenzi Mayor na Madiwani wabovu.
Kweli DC kuna namna anaweza kuchagiza lakini hao waliotajwa kama hawawajibiki hakuna kitu kitafanyika.
Amos Makalla ataimba sans lakini kama ma DED , Ma Mayor walipofanya wajibu wao, hakuna kitu kitafanyika
 
Ana mamlaka juu ya vyombo vya dola kuudhibiti ufisadi, Ilala ilinuka rushwa, matumizi mabaya ya fedha za serikali
 
Kama alikuwa hafai kiasi hicho kwa Nini asifutwe kazi kabisa badala ya kuhamishwa tu? Au warangi, wanyaturu na wanyiramba wa singida ndio wanastahili uongozi wa hovyo kwa kuwa wao wenyewe ni wachafu sio?! Huna akili wewe au unaliwa kiboga! [emoji240][emoji240][emoji240]
Mumeo ameshaondoka umeingia mtandaoni, kafue boksa zake kwanza
 
Eneo alilopewa kutawala
mkuu wa wilaya au mkoa si mtawala, ni msimamizi tu wa shughuli za serikali na siasa katika wilaya au mkoa alikoteuliwa si mtawala. Mtawala ni rais peke yake. soma katiba
 
Haya, uliishia darasa la ngapi?
 
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.

Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.

Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.

#Historia
ACHA UONGO
 
Back
Top Bottom