MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,924
- 6,854
Kama alikuwa hafai kiasi hicho kwa Nini asifutwe kazi kabisa badala ya kuhamishwa tu? Au warangi, wanyaturu na wanyiramba wa singida ndio wanastahili uongozi wa hovyo kwa kuwa wao wenyewe ni wachafu sio?! Huna akili wewe au unaliwa kiboga! [emoji240][emoji240][emoji240]Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.
Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.
Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.
#Historia