Wakati kataa ndoa mnakomaa, wanaume kamili Wali enjoy Father's day

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Hivi huwa najiuliza what do men live for?

Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame?

Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment.

Nothing beats a better family, a better wife, with children.

No money, no accolades, no fame can ever buy it.

Chekini real men wa navyo enjoy,

Wacha Nile ujana kwanza😆

Wakulungwa njaa kali na wenye vita bayana na ndoa fanyeni kama tunachangamsha genge.

Blue Monday.
 
View attachment 3612942

Ule mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.

Mwisho wa siku, legacy ya kweli ya mwanaume na utulivu wake wa nafsi ziko hapo ulipotaja: Nyumba yenye amani, mke bora, na watoto wanaokua katika maadili na upendo. Hakuna akaunti ya benki au tuzo yoyote duniani inayoweza kununua hisia ya kurudi nyumbani jioni ukakuta mke anayekuelewa na watoto wanaokukimbilia wakikuita "Baba." Hapo ndipo kwenye nguvu halisi ya mwanaume (the ultimate sanctuary).
 
Can't agree more🎯
 
mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.
I wish people could see this clearly
 
Hivi huwa najiuliza what do men live for?

Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame?

Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment.

Nothing beats a better family, a better wife, with children.

No money, no accolades, no fame can ever buy it.

Chekini real men wa navyo enjoy,

Wacha Nile ujana kwanza😆

View attachment 3612942
Wakulungwa njaa kali na wenye vita bayana na ndoa fanyeni kama tunachangamsha genge.

Blue Monday.
 
Kiukweli niliinjoi, ilinipa furaha.
Kidogo tuwekane sawa, kuwa na mtoto sio lazima ndoa.
Mie nima watoto wa ndoani na nke ya ndoa..
Tushuke.

Kwanza vitu hivi vya siku za nini nini sijui huwa havipo kichwani.. mie hata siku yangu ya kuzaliwa kama watu wangu wa karibu hawajaniamvia kitu, ama mtandao wa kijamii ama mtandao wa simu inaweza ikapita bila kujua..

Jana status, msg za wazazi wenzangu zilinifariji sana, kuna jumbe zilikuwa tamu sana, zinakupa raha, kuna wengine wakanitwangia simu naokkea nasikia sauti ya goli langu "HAPPY FATHER'S DAY BABA" oya japo si vitu nitiliavyo maanani, vilinikosha.. kuna haja ya kuendelea kusaka pesa kwa bidii, nipige MBUPU sana, niongeze idadi ya watoto
 
Fanya yote ila jitahidi mzalie au kuzaa na wapumbavu
Screenshot_2026-06-22_122205.jpg
 
Kuna karaha buana! Wanajifariji tu kuna muda unatamani uwe na familia, kama una makando kando yako ndio utaona huitaji msaidizi!
 
Ule mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.

Mwisho wa siku, legacy ya kweli ya mwanaume na utulivu wake wa nafsi ziko hapo ulipotaja: Nyumba yenye amani, mke bora, na watoto wanaokua katika maadili na upendo. Hakuna akaunti ya benki au tuzo yoyote duniani inayoweza kununua hisia ya kurudi nyumbani jioni ukakuta mke anayekuelewa na watoto wanaokukimbilia wakikuita "Baba." Hapo ndipo kwenye nguvu halisi ya mwanaume (the ultimate sanctuary).
I salute this thinking...
 
Back
Top Bottom