Basi bado you're a man child! Bado una desire ya fantasy na ngono... Sisemi ni mbaya but haina long lasting happiness.Kiukweli niliinjoi, ilinipa furaha.
Kidogo tuwekane sawa, kuwa na mtoto sio lazima ndoa.
Mie nima watoto wa ndoani na nke ya ndoa..
Tushuke.
Kwanza vitu hivi vya siku za nini nini sijui huwa havipo kichwani.. mie hata siku yangu ya kuzaliwa kama watu wangu wa karibu hawajaniamvia kitu, ama mtandao wa kijamii ama mtandao wa simu inaweza ikapita bila kujua..
Jana status, msg za wazazi wenzangu zilinifariji sana, kuna jumbe zilikuwa tamu sana, zinakupa raha, kuna wengine wakanitwangia simu naokkea nasikia sauti ya goli langu "HAPPY FATHER'S DAY BABA" oya japo si vitu nitiliavyo maanani, vilinikosha.. kuna haja ya kuendelea kusaka pesa kwa bidii, nipige MBUPU sana, niongeze idadi ya watoto
Singo mama kwenye moja na mbiliFanya yote ila jitahidi mzalie au kuzaa na wapumbavu View attachment 3612976
yeah hawatuelewi kabisa point ya kataa ndoa ilipoNdoa sio watoto mkuu, tupo kataa ndoa na tuna watoto wanatuita baba deilee.
Inatwaa KATAA NDOA sio kataa watoto.
Mimi bado sijajaaliwa kuwa nayo,ukiachana na mambo yanayopositiwa mtandaoni, kwa ground mambo hayapo hivyo kabisa, wewe mwenyewe unajionea hujaposti clip za hiyo enjoyment ukiwa na familia na watoto wako, bali umechukua video za wengine ambazo umewish uwe wewe ndo ulizotupostia
nasisitiza... kwa ground mambo hatapo hivyo, hizo ni expectations tu
kataa ndoa, ndoa ni UTAPELI
Ule mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.
Mwisho wa siku, legacy ya kweli ya mwanaume na utulivu wake wa nafsi ziko hapo ulipotaja: Nyumba yenye amani, mke bora, na watoto wanaokua katika maadili na upendo. Hakuna akaunti ya benki au tuzo yoyote duniani inayoweza kununua hisia ya kurudi nyumbani jioni ukakuta mke anayekuelewa na watoto wanaokukimbilia wakikuita "Baba." Hapo ndipo kwenye nguvu halisi ya mwanaume (the ultimate sanctuary).
ewaa sasa wewe nikikuwahi tunaweza kuongea lugha moja, mkuu kwa sasa hivi wewe hizo unazoona ndoani kuna furaha na faraja ni expectations ambazo una wish uje kuzipata, lakini soon ukishaingia huko mambo siyo hayo...Mimi bado sijajaaliwa kuwa nayo,
Ndo maana Nilisema Wacha Nile ujana
Don't only look on the clip but the essence of my message. I can't post my personal life in here..
Uhalisia ni mbaya kwa sababu watu wamekengeuka
Ule mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.
Mwisho wa siku, legacy ya kweli ya mwanaume na utulivu wake wa nafsi ziko hapo ulipotaja: Nyumba yenye amani, mke bora, na watoto wanaokua katika maadili na upendo. Hakuna akaunti ya benki au tuzo yoyote duniani inayoweza kununua hisia ya kurudi nyumbani jioni ukakuta mke anayekuelewa na watoto wanaokukimbilia wakikuita "Baba." Hapo ndipo kwenye nguvu halisi ya mwanaume (the ultimate sanctuary).
ewaa sasa wewe nikikuwahi tunaweza kuongea lugha moja, mkuu kwa sasa hivi wewe hizo unazoona ndoani kuna furaha na faraja ni expectations ambazo una wish uje kuzipata, lakini soon ukishaingia huko mambo siyo hayo...
nakuelewa unavyoongea coz niliwahi kupitia kipindi kama hicho, kuhitaji kuwa na mke, familia na ndoa kiujumla... nashukuru Mungu alinipitisha kwenye mapito ya maisha ya ndoani kwa miaka miwili tu nikapata picha halisi ya maisha ya ndoa yalivyo
sikatai kuwa na mtoto na ukampa malezi yote kama baba, ila kuwekeza kwa mwanamke na sijui ndoa, ndoa never....
sawa sawa, kila la kheriJapo kuwa sina experience ila nimekuwa nikiona familia nyingi ikiwemo niliyotoka mimi!.
Most people hawaingii kwenye ndoa out of decision wanaingia out of expectations.. Hii ina athari nyingi katika muktadha wa ku sustain ndoa..
Kila binadamu anamapungufu yake, but wengi hatuna courage ya kujua yetu ni yapo, so tunaishia kupoint out ya watu wengine.
Tuna project our own shadows kwa we za wetu tukidhani they know us better than we know ourselves. Ndoa. Inahitaji watu wawili walio kubali kubeba madhaifu ya kila mmoja
So, kama uliopitia scenario mbaya Usi generalize kwa watu wote.
🤗🤗🤗🫡🫡Basi bado you're a man child! Bado una desire ya fantasy na ngono... Sisemi ni mbaya but haina long lasting happiness.
Umejiuliza khs yule mtoto wa nje ya ndoa anafeel vipi kuto kuishi na kupokea upendo wako kama Hao waliopo kwenye ndoa?
. Anyways ni mawazo yangu tu hayo mkuu
Ingekuwa hapati upendo stahiki wala asingeomba kupiga simu na kusema "HAPPY FATHER'S DAY" kwa shauku vile, ile kauli iko kichwani..Basi bado you're a man child! Bado una desire ya fantasy na ngono... Sisemi ni mbaya but haina long lasting happiness.
Umejiuliza khs yule mtoto wa nje ya ndoa anafeel vipi kuto kuishi na kupokea upendo wako kama Hao waliopo kwenye ndoa?
. Anyways ni mawazo yangu tu hayo mkuu
Am not talking about your woman mzee, nimezungumzia mtoto ambaye hapati father figure, ambaye analelewa na mama pekee.Ingekuwa hapati upendo stahiki wala asingeomba kupiga simu na kusema "HAPPY FATHER'S DAY" kwa shauku vile, ile kauli iko kichwani..