Ule mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.Hivi huwa najiuliza what do men live for?
Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame?
Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment.
Nothing beats a better family, a better wife, with children.
No money, no accolades, no fame can ever buy it.
Chekini real men wa navyo enjoy,
Wacha Nile ujana kwanza😆
View attachment 3612942
Wakulungwa njaa kali na wenye vita bayana na ndoa fanyeni kama tunachangamsha genge.
Blue Monday.
Can't agree more🎯Ule mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.
Mwisho wa siku, legacy ya kweli ya mwanaume na utulivu wake wa nafsi ziko hapo ulipotaja: Nyumba yenye amani, mke bora, na watoto wanaokua katika maadili na upendo. Hakuna akaunti ya benki au tuzo yoyote duniani inayoweza kununua hisia ya kurudi nyumbani jioni ukakuta mke anayekuelewa na watoto wanaokukimbilia wakikuita "Baba." Hapo ndipo kwenye nguvu halisi ya mwanaume (the ultimate sanctuary).
I wish people could see this clearlymchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.
huwa wanakuja kutambua ila kwa kuchelewa sanaI wish people could see this clearly
Huku nako ni kuchanganyikiwa🤣Ndoa sio watoto mkuu, tupo kataa ndoa na tuna watoto wanatuita baba deilee.
Inatwaa KATAA NDOA sio kataa watoto.
Fita ni fita MulaThat's personal! Hii ni siku yetu bwana yaani nihudumie familia siku yangu tena iwe ya majukumu aloo
Hivi huwa najiuliza what do men live for?
Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame?
Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment.
Nothing beats a better family, a better wife, with children.
No money, no accolades, no fame can ever buy it.
Chekini real men wa navyo enjoy,
Wacha Nile ujana kwanza😆
View attachment 3612942
Wakulungwa njaa kali na wenye vita bayana na ndoa fanyeni kama tunachangamsha genge.
Blue Monday.
Kuwa na mtoto sihitaji ndoa mkuu.Huku nako ni kuchanganyikiwa🤣
I salute this thinking...Ule mchakamchaka wa kutafuta fedha, magari ya kifahari, majumba na "recognition" (sifa na heshima ya kijamii) sio mbaya, lakini huwa unaleta furaha ya muda mfupi sana (temporary fulfillment). Ukishapata gari ulilolitaka, baada ya miezi mitatu linakuwa gari la kawaida tu. Ukipata sifa, kesho watu wanakusahau na kumtafuta mtu mwingine mpya wa kumshangilia.