Wakati kataa ndoa mnakomaa, wanaume kamili Wali enjoy Father's day

Basi bado you're a man child! Bado una desire ya fantasy na ngono... Sisemi ni mbaya but haina long lasting happiness.

Umejiuliza khs yule mtoto wa nje ya ndoa anafeel vipi kuto kuishi na kupokea upendo wako kama Hao waliopo kwenye ndoa?
. Anyways ni mawazo yangu tu hayo mkuu
 
ukiachana na mambo yanayopositiwa mtandaoni, kwa ground mambo hayapo hivyo kabisa, wewe mwenyewe unajionea hujaposti clip za hiyo enjoyment ukiwa na familia na watoto wako, bali umechukua video za wengine ambazo umewish uwe wewe ndo ulizotupostia

nasisitiza... kwa ground mambo hatapo hivyo, hizo ni expectations tu

kataa ndoa, ndoa ni UTAPELI
 
Mimi bado sijajaaliwa kuwa nayo,
Ndo maana Nilisema Wacha Nile ujana

Don't only look on the clip but the essence of my message. I can't post my personal life in here..

Uhalisia ni mbaya kwa sababu watu wamekengeuka
 
 

Attachments

  • instagram_1781218985354.jpg
    214 KB · Views: 12
Mimi bado sijajaaliwa kuwa nayo,
Ndo maana Nilisema Wacha Nile ujana

Don't only look on the clip but the essence of my message. I can't post my personal life in here..

Uhalisia ni mbaya kwa sababu watu wamekengeuka
ewaa sasa wewe nikikuwahi tunaweza kuongea lugha moja, mkuu kwa sasa hivi wewe hizo unazoona ndoani kuna furaha na faraja ni expectations ambazo una wish uje kuzipata, lakini soon ukishaingia huko mambo siyo hayo...

nakuelewa unavyoongea coz niliwahi kupitia kipindi kama hicho, kuhitaji kuwa na mke, familia na ndoa kiujumla... nashukuru Mungu alinipitisha kwenye mapito ya maisha ya ndoani kwa miaka miwili tu nikapata picha halisi ya maisha ya ndoa yalivyo

sikatai kuwa na mtoto na ukampa malezi yote kama baba, ila kuwekeza kwa mwanamke na sijui ndoa, ndoa never....
 

Hii wanaume na wanawake wakilitambua maisha yanakuwa na furaha
 

Japo kuwa sina experience ila nimekuwa nikiona familia nyingi ikiwemo niliyotoka mimi!.

Most people hawaingii kwenye ndoa out of decision wanaingia out of expectations.. Hii ina athari nyingi katika muktadha wa ku sustain ndoa..

Kila binadamu anamapungufu yake, but wengi hatuna courage ya kujua yetu ni yapo, so tunaishia kupoint out ya watu wengine.

Tuna project our own shadows kwa we za wetu tukidhani they know us better than we know ourselves. Ndoa. Inahitaji watu wawili walio kubali kubeba madhaifu ya kila mmoja

So, kama uliopitia scenario mbaya Usi generalize kwa watu wote.
 
sawa sawa, kila la kheri
 
🤗🤗🤗🫡🫡
 
Ingekuwa hapati upendo stahiki wala asingeomba kupiga simu na kusema "HAPPY FATHER'S DAY" kwa shauku vile, ile kauli iko kichwani..
 
📌KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!

MAMBO YA SIKUKUU NI MAMBO YA KIKE,MWANAUME HALISI WEWE UNAJIPA ZAWADI YA UBABA BORA AU ZAWADI YA KUZALIWA KWA KUFANYA MAMBO SMART KAMA KUNUNUA KIWANJA AU SHAMBA KWAAJILI YAKO,KUJIONGEZA KIELIMU,KULA VIZURI,KUTEMBELEA MAENEO MAZURI LIFE IS ALL ABOUT YOURSELF,ACHENI HIZO CHEAP VALIDATION HAZIONGEZI KITU ZAIDI YA KUWAFANYA WATUMWA WAKE!!!

MWANAUME HAITAJI CHEAP VALIDATION FROM OTHERS MAANA ANAJUA HIYO NI TEMPORARY.Na vitu temporary havidumu.

Mwanaume halisi haogopi kuwa SOLO.
 
Ingekuwa hapati upendo stahiki wala asingeomba kupiga simu na kusema "HAPPY FATHER'S DAY" kwa shauku vile, ile kauli iko kichwani..
Am not talking about your woman mzee, nimezungumzia mtoto ambaye hapati father figure, ambaye analelewa na mama pekee.

Kumpa matumizi sio malezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…