Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu.
Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa ya nchi husika, sisi nchi yetu ni “NCHI YA AMANI NA UTULIVU”, hiyo ndio Brand yetu na ndio Culture yetu.
CHADEMA ndio wanajikuta wakombozi wa Taifa hili, yani wanajifanya wana hasira sana na wanatamani iwe kama KENYA. Sasa niwaambie tu, CHADEMA ni watu wa mwisho kabisa kuwaamini kama wanaweza kuwapeleka popote.