Wakati Kenya wakiharibu nchi yao wenyewe, acha sisi tupambane na maisha

Muda mwingine inabidi tugombane kidogo ili mambo yaende !!!
 
Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu.

Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa ya nchi husika, sisi nchi yetu ni “NCHI YA AMANI NA UTULIVU”, hiyo ndio Brand yetu na ndio Culture yetu.

CHADEMA ndio wanajikuta wakombozi wa Taifa hili, yani wanajifanya wana hasira sana na wanatamani iwe kama KENYA. Sasa niwaambie tu, CHADEMA ni watu wa mwisho kabisa kuwaamini kama wanaweza kuwapeleka popote.
Mpambane na maisha gani mliyonayo ninyi takataka ?
Mbwa kabisa
 
Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu.

Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa ya nchi husika, sisi nchi yetu ni “NCHI YA AMANI NA UTULIVU”, hiyo ndio Brand yetu na ndio Culture yetu.

CHADEMA ndio wanajikuta wakombozi wa Taifa hili, yani wanajifanya wana hasira sana na wanatamani iwe kama KENYA. Sasa niwaambie tu, CHADEMA ni watu wa mwisho kabisa kuwaamini kama wanaweza kuwapeleka popote.
Wasted sperm
 
Wajin

Wajinga kama wewe ndo maana watu wanaiba wanavyotaka na hawafanywi kitu.maandamano ya kenya yamekuwa na mafanikio ndo maana serikali imeamua kuachana na hiyo bill.watanzania tuache ujinga tupambane na maovu yanayofanywa na viongozi.
 
Wanaoharibu nchi sio hao vijana ambao hawana future..., Vijana ambao hawana hata uhakika wa kazi yoyote ya kuwapatia ujira na maisha yao ni ya kubahatisha wakati huo huo wahuni wachache wanaendelea kufuja mali na kufirisi nchi yote hayo wanafanya kwa kutumia jasho la walipa Kodi
 
Mnavyoendelea kuuza kila kitu na kuweka rehani nchi , kuzalisha bomu la taifa la kesho lisilo na ujira wa uhakika Amini nakwambia itakuwa mbaya kuzidi Kenya as hii nchi ni kubwa zaidi hivyo ni vigumu kui-handle; hata paka akiwa cornered hugeuka na kuwa Chui....
 
Bora kizazi chenu kilikuja baada ya majemedali na wazalendo wa kweli kuipigania nchi yao. Kizazi chenu kingekuwepo Tanganyika isingejitawala katu.
 
Hayo maandamano unayoyaita kuharibu nchi ndiyo yaliyotuletea mfumo wa vyama vingi miaka ya tisini, nyinyi bado mnaongozwa na CCM, yakaleta katiba mpya mwaka wa 2010. Tangu hayoamaandamano yaanze waTZ wengi sana wanashangaa vijana wakenya wanapata vipi uhuru wa kumtukana rais, kukabiluana na polisi, kuandamana hata watoto wasichana, uhuru wa vyombo vya habari na kadhalika. WaTZ wanashangaa kweli hayo yanawezekana Africa. Sisi tunafwatilia maswala ya siasa kwa undani sana. Hatimaye rais Ruto amekubali na kuufutilia mbali mswada wa fedha 2024/2025 so back to the drawing board.
 
Back
Top Bottom