Kama mwanachi nisiyependa vuruguUnatwambia ukiwa kama nani..?
Ungevunga tu... Mambo yapo mengi ya kufanya sio kujisoti soti huko na kutusemea..!Kama mwanachi nisiyependa vurugu
Wewe ndo Huna akili, hajui wanachokipigania wakenya!. Funga domo lako!Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu.
Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa ya nchi husika, sisi nchi yetu ni “NCHI YA AMANI NA UTULIVU”, hiyo ndio Brand yetu na ndio Culture yetu.
CHADEMA ndio wanajikuta wakombozi wa Taifa hili, yani wanajifanya wana hasira sana na wanatamani iwe kama KENYA. Sasa niwaambie tu, CHADEMA ni watu wa mwisho kabisa kuwaamini kama wanaweza kuwapeleka popote.
Unataka kufa au kujinyonga? Njoo nikupe kibarua ujikimu kimaisha. Sherti ni kuchoma vyeti vyako vya taaluma mana havina msaada tenaAlhamisi tunaenda ikulu kumng'oa ruto, mchoro tayari tunao, tukishamalizana na wahuni wa kenya tunakuja tz kukiwasha, hapo siku mbili tu chura kiziwa anarudi kwao au anakimbilia kwa wajomba zake, na hela yetu anarudisha maana duly atakuwa mikononi mwetu, then tunaelekea uganda, hadi drc.
Sasa wewe una Kiduka chako au Kimgahawa halafu waje wavunje grill waibe halafu wapige kiberiti halafu uje humu sijui kama utaposti ulyoyaposti hapa?!Wewe ndio mjinga, unajidanganya tu,uharibifu unaofanywa na wakenya hasara yake ni ya muda mfupi, lakini faida yake itadumu karne na karne.jidanganye!
nataka kufa,Unataka kufa au kujinyonga? Njoo nikupe kibarua ujikimu kimaisha. Sherti ni kuchoma vyeti vyako vya taaluma mana havina msaada tena