Wakati Kenya wakiharibu nchi yao wenyewe, acha sisi tupambane na maisha

Chawa kama chawa
 
TANZANIA SIYO KISIWA NA YOTE YANAANZA TARATIBU KIBURI CHA WALIOPEWA DHAMANA ZA KUTUONGOZA UPENDELEO KATIKA NAFASI ZA UMMA MFANO UPANDISHWAJI WA WALIMU MSIMU HUU UMEKUWA NA UPENDELEO KULIKO MIAKA YOTE KUWAACHA WANAOSTAHILI KWA KIBURI TU,MADAI YA WAFANYAKAZI KUWEKWA PEMBENI KWA KIBURI,HUDUMA MAHOSPTALI HATA KAMA UNA BIMA HAKUNA HUDUMA WALA DAWA KIBURI NI BOMU LINALOWEZA KULIPUKA WAKATI WOWOTE WAKIENDELEA KUPUUZA VILIO VYA WANYONGE.
 
Hao chadema unaowatuhumu ni wastaarabu Sana na ni watanzania haswaa ndo maana unaona bado taifa Lina utulivu SI wanasiaasa kama wa nchi nyingine zinazotuzunguka.pay a respect to them hata mama analijua Hilo no matter what.tusiwe tunapost vitu kichawa humu.
 
Mwambie mbowe afe kwa kupigwa risasi akiwa mbele kwenye maamdamano ili damu yake iwe mbegu kwa ukombozi
 
🫡 ✌️✌️✌️ Huyu Mama yeye ndio anaendeza UCHOKOZI.
 
Hivi kinachoendelea kenya ni maandamano ya amani au ni uhuni tu ule, mwanzoni walianza vizur ila naona sasa hivi wanaharibu kuchoma vitu kuvamia bunge na kuharibu sasa hayo maandamano au ni fujo
 
Hiyo alhamis itakukuta unaranda randa humu JF na vijimaneno vyako.😎
 
Wewe ndio mjinga, unajidanganya tu,uharibifu unaofanywa na wakenya hasara yake ni ya muda mfupi, lakini faida yake itadumu karne na karne.jidanganye!
Anajiona ana akili kuliko wakenya.Watu wa hivyo mara nyingi niwale wanufaika na hali iliyopo lika kujali wengine wengi wanaoumia.Hapo anajifanya mzalendo kumbe hakuna kitu.
 
Hizi ni dalili za ugonjwa wa kichocho
 
Hao Kenya hata wapigane mwaka mzima, bado wakianza watatuzidi tu kwa maendeleo. Kenya sio nchi ya mazombie.
 
Yaani uñataka ujinga wako uupeleke Kenya swaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…