Wakati Kenya wakiharibu nchi yao wenyewe, acha sisi tupambane na maisha

Sisi ngoja tuendelee kuvuta shuka tungoje mapambazuko!
Kenya kumeshapambazuka huko wako kazini.
 
Sisi ngoja tuendelee kuvuta shuka tungoje mapambazuko!
Kenya kumeshapambazuka huko wako kazini.
Wanaharibu nch yao kwa mikono yao wenyewe. Na sisi hatuna mpango wa kuwapokea kama wakimbizi. Tulionao wa burundi na drc wanatosha
 
Nchi ikiwa na raia waoga ni amani, lakini nchi ikuwa na askari waoga ni fujo tu.
 
Inawezekana sio chadema ila akaja kuwa mtoto wako au mjukuu wako akawa mkombozi..
Don't take things for granted!
 
Inawezekana sio chadema ila akaja kuwa mtoto wako au mjukuu wako akawa mkombozi..
Don't take things for granted!
Kwani hatujakombolewa bado? Unataka ukombozi gani. Mama kawapa uhuru wote ukitaka tukana ukitaka andamana. Sasa unataka ukombozi gani tena
 
Unaota
 
Na kama haujui walioandamana Kenya sio wapinzani tuu, ficha kutokujua kwako.
 
Tanzania itakuwa juuu soon tu kuzidi kenya haya mambo ni slowly tu
Soon lini?

Soon wakati majizi ndio yanazidi kuitafuna nchi na yamepewa baraka na huyo mama kula kutokana na urefu wa kamba ?

Unafikiri mafanikio yanapatikana kwa kusema mama anaupiga mwingi?

Maandamano ya jana yamefanya muswada umegomewa kusainiwa huoni matokeo ?
 
Wanaharibu nch yao kwa mikono yao wenyewe. Na sisi hatuna mpango wa kuwapokea kama wakimbizi. Tulionao wa burundi na drc wanatosha
Lini wakenya wameomba hifadhi ya ukimbizi kwa wingi Tanzania?

Hata PEV ya 2007-2008 wakenya hawakukimbilia Tanzania kuomba hifadhi kama ilivyokuwa kwa wingi wa wakimbizi kambi za Kigoma ambayo ni jirani kwa DRC na Burundi.

Nilitarajia useme labda kulikuwa na kambi ya wakimbizi Sirari, Isebania n.k ila hakukuwa na kambi.

Mwisho tu kwa kukusaidia katika diaspora ambao nimekutana nao hapa kwa EA wakenya wametufunika mbali sana ni ngumu kukutana na mtanzania kuliko mkenya.
 
Hakuna majizi. Ripoti ya CAG huwa ni queries tu. Akielekezwa vizuri na vitabu vikawekwa sawa hakunaga wizi. Kazi ya cag ni kuuliza tu kwamba hela mbona haionekani lakini hana uhakika kama imeibiwa. Ingekuwa hivyo hata kipindi cha jpm ilionelana kaiba 1.5 trilion
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚look at you
 
Sawa hakuna majizi ila kuna walaji sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…