The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Kiongozi huyu hatukumpigia kura, Mungu aliruhusu atuongoze, ndiye aliyemweka.
Kuendelea kuhangaika nae ni kupoteza muda na hakuna kitu kitabadilika Kwa staili hii,
Turudi msalabani, tuombe TOBA na kuomba mwongozo tutafanikiwa.
Uliona wapi ujasiri na kukaza shingo kiasi hicho pamoja na kelele zote hizo!!unapoint.
Hilo neno bandarini ni lako mwenyewe, hakuna sehemu Askofu alisema anaunga mkono uwekezaji bandarini"Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama kwenye taifa letu."
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya
Miaka 60 ya KKKT.
Wewe unataka nini zaidi? Mama kishasema:Mnajitoa ufahamu sana. KKKT wanaunga mkono uwekezaji sio mkataba wa serikali na dpwedi.
Hakuna waliposema wanaunga mkono uwekezaji wa bandari, sana sana amemkumbusha bi mkubwa kuzingatia maoni waliyotoa viongozi wa dini walipoonana nae na TEC wakiemo.
Mbona yeye kauza, Ajibu hoja za mkataba sasa"Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na usalama kwenye taifa letu."
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya
Miaka 60 ya KKKT.