Wewe umekuja kuprovoke, what did you expect.Sijui kwanini mnatumia nguvu nyingi hivi kujitetea, mbona hamjiamini, mnaonekana kubabaika sana.
Mimi nimesema kila mtu asheherekee mafanikio yake kwa level yake. Nyie msheherekee hiyo moja ilhali sisi tusheherekee fursa ya zetu 37 kupaa kwenda Marekani moja kwa moja.
Imeletwa na mtanzania buda, usituchukulie poa, check youtube.Dreamliner yenyu imeletwa na mzungu and most likely they will fly them till you finish training your pilots,now whose worse of?
Lakini mchicha haujawahi kuwa mbuyu hata siku moja.Big Up Kenya na Tanzania. Hata mbuyu unaanza kama mchicha.
Sijasema mchicha unkuwa mbuyu ukiwa Mkubwa. Nimesema mbuyu unapoanza unafanana na mchicha lakini kufanana huko na mchicha hakuuzuii kuwa mbuyu unapokuwa Mkubwa.Lakini mchicha haujawahi kuwa mbuyu hata siku moja.
Punguza POVU na WIVUTuna Presidential Jet ambayo itampeleka kokote kule.
Isitoshe kuna options nyingine kama Emirates, Qatar ambazo ni 5 star sio sawa na hiyo yenu mnaolisha abiria githeri.
Punguza POVU na WIVU
Acha kupandwa na presha, ndugu
Hapa ndio kwenye slam za Kibera?
jamaa anatuchagulia pa kwenda utadhani nairobi iko North Korea.
mtu aniwekee ile video ya KenyaAirways dream girls ambayo huyo captain koki pamoja na co-pilot pamoja na flight attendants wote ni wanawake wakipeleka Boeing 787-8 dreamliner
Primitive Afrikan Dangnyikan LDC mentality eti huwezi amini KQ eti kwa sababu ya wivu kwa waKenya...your hatred towards us is the reason we are always 20 years ahead of you people.Tuna Presidential Jet ambayo itampeleka kokote kule.
Isitoshe kuna options nyingine kama Emirates, Qatar ambazo ni 5 star sio sawa na hiyo yenu mnaolisha abiria githeri.
aiseeee dah hongera zetu mazeee.....waswahili bado sanaaaaa, midreamliner tunayo ya kumwagaa hadi tumewaaachia kq safu ya kike nao kuchezeaaaa!!
Jenga basi kibanda,unataka kushidana na kujenga ghorofa la fitoNa hakuna siku ghorofa la jirani litakufaa kuliko kibanda chako mwenyewe.
True, mimi ni Tanzanian, lakini mentality ya watanzania wengi ni kama wasafisha chooPrimitive Afrikan Dangnyikan LDC mentality eti huwezi amini KQ eti kwa sababu ya wivu kwa waKenya...your hatred towards us is the reason we are always 20 years ahead of you people.
Sio Watanzania wote bali ni kadhaa humu JF wafuasi sugu wa siasa za 90s.True, mimi ni Tanzanian, lakini mentality ya watanzania wengi ni kama wasafisha choo
Well saidMind your own business
Well said
Wakae na Vasco Da Gama wao walahi