Wakati majirani wanasheherekea ndege yao ya kwanza, huku raisi atakua abiria wa kwanza kwenye ndege yetu ya kwenda US

Sijui kwanini mnatumia nguvu nyingi hivi kujitetea, mbona hamjiamini, mnaonekana kubabaika sana.
Mimi nimesema kila mtu asheherekee mafanikio yake kwa level yake. Nyie msheherekee hiyo moja ilhali sisi tusheherekee fursa ya zetu 37 kupaa kwenda Marekani moja kwa moja.
Wewe umekuja kuprovoke, what did you expect.
 
KQ x SKYTEAM
IMG_20180710_085719.jpg
IMG_20180710_085737.jpg
IMG_20180710_085746.jpg
 
Big Up Kenya na Tanzania. Hata mbuyu unaanza kama mchicha.
 
Ingekuwa bongo ndo rais anazindua kwa kjpiga misele sipati picha jinsi jamaa wa Ufipa wangetokwa povu.
 
Lakini mchicha haujawahi kuwa mbuyu hata siku moja.
Sijasema mchicha unkuwa mbuyu ukiwa Mkubwa. Nimesema mbuyu unapoanza unafanana na mchicha lakini kufanana huko na mchicha hakuuzuii kuwa mbuyu unapokuwa Mkubwa.
 
Tuna Presidential Jet ambayo itampeleka kokote kule.

Isitoshe kuna options nyingine kama Emirates, Qatar ambazo ni 5 star sio sawa na hiyo yenu mnaolisha abiria githeri.
 
Punguza POVU na WIVU

Acha kupandwa na presha, ndugu
 
Tuna Presidential Jet ambayo itampeleka kokote kule.

Isitoshe kuna options nyingine kama Emirates, Qatar ambazo ni 5 star sio sawa na hiyo yenu mnaolisha abiria githeri.
Primitive Afrikan Dangnyikan LDC mentality eti huwezi amini KQ eti kwa sababu ya wivu kwa waKenya...your hatred towards us is the reason we are always 20 years ahead of you people.
 
True, mimi ni Tanzanian, lakini mentality ya watanzania wengi ni kama wasafisha choo
 
Back
Top Bottom