Ndio maana nasema ifike muda serikali itambie umuhimu wa utafiti angani na kuanza kuchukua hatua.Kama kuwapa tu huduma za muhimu kama utilities (maji, umeme, gas n.k) na bima za afya wameshindwa halafu Rais anasema nchi ina madini ambayo hata mengine hayajui majina unategema kweli kupelekwa hata hapo Sudan?
Acha waende huko Mars watapunguza msongamano duniani.
Sure uko sahihi ila kwa hizi zama yote yanawezekana we can borrow technology from walioendelea sioni shida hapo.Nioneshe japo kiwanda cha kutengeneza hata pangaboi la helikopta hapa nchini.
Unadhani wenzetu wamefika hapo kama ajali tu? Kwa mfumo wetu wa elimu wa kutafuta Tanzania One kila mwaka wa mtihani unadhani tutaweza hata kutengeneza koti la mwanaanga?
We need to invest kwenye elimu, tuwekeze katika tafiti, tuwekeze kwenye majaribio ya kisayansi kwa kuanzisha maabara ndani ya majeshi yetu, tuunde mamlaka huru za chunguzi za kisayansi na tuamini kuwa tunamuamini Mungu WETU.
Mengineyo ni ushuzi na kujilisha kunde tu
Watafiti na wasomi wetuwote wanakimbilia siasaNdio maana nasema ifike muda serikali itambie umuhimu wa utafiti angani na kuanza kuchukua hatua.
Mwigululu asiende huko