Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wangeendeleza maono ya the Late Prof. Shayo ya kuwa na kijiji cha sayansi huenda tungesogea kiasiAsante sana mkuu sijui kwanini hii field ya technology imekuwa a dead wood.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangeendeleza maono ya the Late Prof. Shayo ya kuwa na kijiji cha sayansi huenda tungesogea kiasiAsante sana mkuu sijui kwanini hii field ya technology imekuwa a dead wood.
Ni sawa. Inasemekana hata venus sister of earth at one point of a time huko nyuma ilikuwa habitable na sasa ni hell. Huenda hata Earth ilifanyiwa colonization na vizazi vya kale. Huu ulimwengu kuna watu wana siri nyingi siamini kuwa mambo hutokea tu.Mars inaaminika itakuwa habitable for human na in a long run binaadamu wataanza kwenda kuishi Mars. Ndio maana inaitwa Mars colonization.
Mbona nasoma huu uzi alafu naona kama ni wa utani. Naomba mnijuze, ila kama tunadiscuss serious basi hichi tunachojadili ndoto za alinacha. Yaani hata chakula tu kama taifa ni shida, alafu tunaiwaza Mars.Kikubwa ni kushika eneo la kwetu ili nasisi tuzidi kujitanua as a nation!
Mkuu hata huko marekani kuna shida sio hapa kwetu. Kuna watu marekani hata 1000 ya msosi hana kabisa!Mbona nasoma huu uzi alafu naona kama ni wa utani. Naomba mnijuze, ila kama tunadiscuss serious basi hichi tunachojadili ndoto za alinacha. Yaani hata chakula tu kama taifa ni shida, alafu tunaiwaza Mars.
Unajua ukiangalia marekani project nyingi za tafiti za kisayansi hua zinakuwa sponsored na mashirika binafsi au watu binafsi. Mfano ni SpaceXWangeendeleza maono ya the Late Prof. Shayo ya kuwa na kijiji cha sayansi huenda tungesogea kiasi
Tutaondoaje umaskini bila teknolojia mkuu Maili tatuHebu tuondoe umasikini Kwanza.
Bila kuwa na dira ya taifa ni kupoteza muda. Kwanza lazima tuwe na dira ya taifa (sio ilani ya chama wala mihemko ya rais) na hiyo dira lazima iweke mkazo kwenye elimu, sayansi na teknolojia!Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s.
Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s .
China nao wamepanga 2040s kama urusi.
Sasa sisi serikali yetu inasubiri nini kwenye huu upande wa teknolojia ya angani? Mpaka sasa kimya hakuna kinachoendelea na muda unazidi kwenda.
Jamani, tunataka kwenda sayari ya Mars! Serikali ya Tanzania iamke sasa walau hata ifikapo na sisi 2040s twende Mars tukaanze kushika mashamba huko?
View attachment 2353928View attachment 2353927
Huwezi kuondoa bila teknolojia, ila si teknolojia ya kufika mars, ya mars ni kubwa mnoooo, kwanza tuanza tulivyonavyo huko mars ni kwa kizazi kijacho, tuende mars na vyoo bado,shule na vyuo bado, teknolojia iko chini sana, maofisini tu Hali n mbaya...Tutaondoaje umaskini bila teknolojia mkuu Maili tatu
Ndio kuna kitu kinaitwa funding mkuu. Private people or companies zinaweza fund project kama hizo! Mfano ni SpaceXHuwezi kuondoa bila teknolojia, ila si teknolojia ya kufika mars, ya mars ni kubwa mnoooo, kwanza tuanza tulivyonavyo huko mars ni kwa kizazi kijacho, tuende mars na vyoo bado,shule na vyuo bado, teknolojia iko chini sana, maofisini tu Hali n mbaya...
Unakumbuka wakati wakina vasco da gama na kina Bartolomeo Diaz wanakuja Africa? Vp maendeleo ya nchi yao ya ureno yalikuwaje? Colonization inaumuhimu sana hapa Duniani.Una kilomita za mraba laki tisa hujajaza hata robo unawaza mars ambao ni jangwa? Yaani serikali ina kazi ya kuhakikisha watu wanaelimika. Badala ya 2040 essential services ziwepo unataka serikali ipeleke watu jangwani?
Nyie nendeni Mars sisi tutabakia duniani tuki enjoy hewa safi ya Oksijeni. Mkichoka mtarudi mtabeba box!
Hao watu tunao wako wapi kwanza!, Taifa hili hata dira ya kueleweka halina, funding organization zinahitajika wataalamu sisi hao hatuna huko ni kurisk pesa za watu.Ndio kuna kitu kinaitwa funding mkuu. Private people or companies zinaweza fund project kama hizo! Mfano ni SpaceX
😂 Mkuu most space projects ziko funded na private entities. Unlikewise ziwe ni national defense au prestige nata hata weather.Bila kuwa na dira ya taifa ni kupoteza muda. Kwanza lazima tuwe na dira ya taifa (sio ilani ya chama wala mihemko ya rais) na hiyo dira lazima iweke mkazo kwenye elimu, sayansi na teknolojia!
Mkuu hao wachina warusi na wamarekani hawajafika hapo from no where! Waliweka mipango, wakawekeza na kujitoa sadaka kwa ajili ya taifa lao!!
Ndio màana nasema kuna umuhimu wa kuazima wataalamu ili in the near future tuwe na pakuanzia.Hao watu tunao wako wapi kwanza!, Taifa hili hata dira ya kueleweka halina, funding organization zinahitajika wataalamu sisi hao hatuna huko ni kurisk pesa za watu.