Wakati mnawafanyia harassment wamachinga, mnakumbuka habari ya Mohamed Bouazizi aliyesabababisha serikali za kiarabu kuanguaka?

Umachinga hata kodi hawalipi, sasa wanachangiaje kiuchumi? Halafu wanawaziba wenye fremu za biashara ambao wana leseni na wanalipa kodi mbalimbali...
Haya sasa wafanyabiashara wameachiwa fremu wazi ili wauze walipe kodi mbona hawatoi risiti kwa mnunuaji mpaka uanze kugombana nao wakati wanajua ni wajibu wao?

Kwanini mali ya shilingi 200,000/= inaandikiwa risiti ya shilingi 50,000/- kama sio wizi ni uliohalalishwa ni nini?
 
Ila machinga huwwa awakomi awajifunzi machinga ni kama police na ccm.
Police uisaidia ccm ushindi,then ccm inafanya maisha ya police kuwa magumu, nyumba za mabati, mishahara midogo,nk.
Pamoja na madhila yote hayo still police aachi kuilinda ccm.
 
Bei uamuzi ni wako kipi rahisi ya risiti 200000 ya bila risiti 150000 anza wewe kukataa kuuziwa ya bei ya chini bila risiti.
Kodi ikiwa nafuu upunguza ukwepaji wake
 
Welldone Mh. Makalla, kanyaga hapohapooo, unaenda kuandika historia kuwatoa hawa jamaa bila vurugu, ni visiasa siasa tu vya maji taka. Kanyaga hapo hapoo
 
So mji hautakiwi kupangiliwa?K

Mji kupangailiwa siyo tatizo, lakini mkuu wa mkoa ametoa maagizo kuwa walio hama barabarani wakienda huko mtaani nako hataki kuona vibanda, hii nchi ni wote, hawa wamachinga wana familia, wana mikopo, wanasomesha na nk. kuwatoa barabarani na Kariakoo, ni jambo jema sana. lkn hata huko mtaani nako kweli?
 
Huko ni kwa waarabu lakini hapa kwetu jambo kama hilo halipo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…