Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sasa wafanyabiashara wameachiwa fremu wazi ili wauze walipe kodi mbona hawatoi risiti kwa mnunuaji mpaka uanze kugombana nao wakati wanajua ni wajibu wao?Umachinga hata kodi hawalipi, sasa wanachangiaje kiuchumi? Halafu wanawaziba wenye fremu za biashara ambao wana leseni na wanalipa kodi mbalimbali...
Bei uamuzi ni wako kipi rahisi ya risiti 200000 ya bila risiti 150000 anza wewe kukataa kuuziwa ya bei ya chini bila risiti.Haya sasa wafanyabiashara wameachiwa fremu wazi ili wauze walipe kodi mbona hawatoi risiti kwa mnunuaji mpaka uanze kugombana nao wakati wanajua ni wajibu wao?
Kwanini mali ya shilingi 200,000/= inaandikiwa risiti ya shilingi 50,000/- kama sio wizi ni uliohalalishwa ni nini?
So mji hautakiwi kupangiliwa?K
Huenda alijinyima miezi na masiku hatimae akapata hiyo feza ya kujjenga hicho kibabanda
Acha ngojera za kijingaBei uamuzi ni wako kipi rahisi ya risiti 200000 ya bila risiti 150000 anza wewe kukataa kuuziwa ya bei ya chini bila risiti.
Kodi ikiwa nafuu upunguza ukwepaji wake
Huko ni kwa waarabu lakini hapa kwetu jambo kama hilo halipoNimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.
Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.
Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohamed Boazizi aliaambiwa na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.
Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.
Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.
Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohamed Boazizi aliaambiwa na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya Zine El Abidine Ben Ali
Umekosea ni Rais wa zamani wa Tunisai Zine El Abidine Ben Ali ndiye chanzo cha balaaa kwa warabuNimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.
Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo, wanalisha familia zao, wanasomesha watoto na ndugu zao.
Mmesahau kuwa hawa watu sio wa kufanyiwa harassment? Mohamed Boazizi alifanyiwa harassment kama hizi mnazowafanyia wamachinga hivi leo. Mohamed Boazizi aliaambiwa na mamlaka za Tunisia hivi hivi, kuwa anafanya biashara mahala pasipofaa. Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.
Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517
Mamlaka zilisahau kuwa ana watoto ndugu na jamaa wanaomtegemea.
Mohamed Boazizi alijimwagia Petrol na kujipiga kiberiti. Jambo ambalo lilisababisha serikali ya Tunisia,Libya na Egypt kuanguka.
View attachment 1984517