Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
When it is too good to be true it's not trueUnakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote.
Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa namba hii voda wananidai. Ngoja nikupe namba nyingine. Unashtuka kidogo.
Anakupa unatuma tsh 5000. Anakuambia mwelekeze mtakapo onana. Kama ni gheto kwako au guest house. Unashtuka kidogo
Unamwelekeza ghetto anakuuliza unazo condom au mtapiga kavu kavu? Unashtuka kidogo
Hamu inakata. Why? Why? Kwanini? Mtu amekurahisishia unaanza mwona hafai unakatwa stim? Sisi wanaume hatujui tutakalo.
Nzuri kumezaKuna kitu kinaitwa The Madonna Whore Dichotomy.
Mwanaume anaweza kumtamani mwanamke kingono, lakini akigundua kwamba mwanamke huyo pia yuko tayari kufanya ngono kwa urahisi mno, anaanza kumpunguzia heshima na thamani.
Mwanaume anafurahia zaidi kuwinda kuliko kuzoa.
Kuna kitu kinaitwa The Madonna Whore Dichotomy.
Mwanaume anaweza kumtamani mwanamke kingono, lakini akigundua kwamba mwanamke huyo pia yuko tayari kufanya ngono kwa urahisi mno, anaanza kumpunguzia heshima na thamani.
Mwanaume anafurahia zaidi kuwinda kuliko kuzoa.
Hamu ya nini inakata ...ya mawasiliano au kuonana?Hamu inakata. Why? Why? Kwanini? Mtu amekurahisishia unaanza mwona hafai unakatwa stim? Sisi wanaume hatujui tutakalo
Tulivyo wa ajabu ukipata wa hivyo unamshusha heshima na hamu ya tendo inaisha wanaume tunapenda misukosukoUnakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote.
Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa namba hii voda wananidai. Ngoja nikupe namba nyingine. Unashtuka kidogo.
Anakupa unatuma tsh 5000. Anakuambia mwelekeze mtakapo onana. Kama ni gheto kwako au guest house. Unashtuka kidogo
Unamwelekeza ghetto anakuuliza unazo condom au mtapiga kavu kavu? Unashtuka kidogo
Hamu inakata. Why? Why? Kwanini? Mtu amekurahisishia unaanza mwona hafai unakatwa stim? Sisi wanaume hatujui tutakalo.
๐๐๐๐๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟTulivyo wa ajabu ukipata wa hivyo unamshusha heshima na hamu ya tendo inaisha wanaume tunapenda misukosuko
Au sio pechipechi๐๐๐๐๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Tulivyo wa ajabu ukipata wa hivyo unamshusha heshima na hamu ya tendo inaisha wanaume tunapenda misukosuko
Hamu ya kutombaHamu ya nini inakata ...ya mawasiliano au kuonana?
Hii ni sawa na labubu... Scarcity inakipa kitu thamani ukianza kipata kirahisi aaah kwishaKuna kitu kinaitwa The Madonna Whore Dichotomy.
Mwanaume anaweza kumtamani mwanamke kingono, lakini akigundua kwamba mwanamke huyo pia yuko tayari kufanya ngono kwa urahisi mno, anaanza kumpunguzia heshima na thamani.
Mwanaume anafurahia zaidi kuwinda kuliko kuzoa.
hakika nimejifunza kituKuna kitu kinaitwa The Madonna Whore Dichotomy.