a sinner saved by Christ JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 4,014 Reaction score 4,600 Mar 24, 2026 #1 Mhu 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"", wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote INNOCENT people who are in PRISON. THIEVES are walking FREE POOR people who are very happy living Peaceful life. RICH people who are sick and unhappy KORONA SARS-covid 19 Asiye na sifa wala uwezo na asiyekubalika kuwa KIONGOZI na mwenye sifa na uwezo anayekubalika asipate nafasi. HELL IS EMPTY AND ALL THE DEVILS ARE HERE
Mhu 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"", wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote INNOCENT people who are in PRISON. THIEVES are walking FREE POOR people who are very happy living Peaceful life. RICH people who are sick and unhappy KORONA SARS-covid 19 Asiye na sifa wala uwezo na asiyekubalika kuwa KIONGOZI na mwenye sifa na uwezo anayekubalika asipate nafasi. HELL IS EMPTY AND ALL THE DEVILS ARE HERE
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Mar 24, 2026 #2 Ni kweli kabisa
a sinner saved by Christ JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 4,014 Reaction score 4,600 Mar 27, 2026 Thread starter #3 Mit 3:5-6 Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Mit 3:5-6 Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 3, 2026 #4 Muda huongea... Cc: Mahondaw