Jose Author
Senior Member
- Jun 21, 2022
- 113
- 251
- Thread starter
- #141
natia mguu hapa [emoji3]
hii story sio poa
Hahhaa kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natia mguu hapa [emoji3]
hii story sio poa
Fisi
Mnatoa wapi hizi mastori
Jose Author Tena.View attachment 2620003
Umewahi kununua kahaba? Kama jibu ndio basi kuna uwezekano umewahi kufanya mapenzi na wanyama kama mbwa au fisi bila ya wewe kujua! Unashangaaa? Usishangae na wala usibishe. Dunia inamambo ya ajabu sana ndugu yangu.
Uliyelala naye sio mwanamke uliyemnunua! Kuna uwezekano ulifanyiwa kiini macho ukalala na fisi au mbwa, nasema hayo kwakuwa binafsi niliwafanyia hivyo wateja wangu. Walijua wanafanya mapenzi na Mimi kumbe wanafanya mapenzi na fisi.
Ilkuwa balaa.. na wateja walinipenda! Niliuza kupita maelezo, walinisifu na kuniita Lucy mtamu! Eeeh! Waliniita lucy mtamu bila ya kujua utamu haukuwa wangu! Ulikuwa wa fisi, na mara nyingne ulkuwa wa mbwa.
Ila tafadhali msinichukie, maana sikufanya kwasababu napenda bali maisha, harakati za kutafuta riziki na kutaka kuonekana bora kwenye uso wa dunia zilinifanya nifanye hayo. Kabla sijaeleza kisa changu kwanza naomba mnisamehe , hasa kwa wale waliokuwa wateja wangu.
Wale wote waliowahi kuninunua na tukafanya mapenzi, nipo chin ya miguu yenu! Samahanini sana. Tena sana. Sikuwa najua madhara ya kumfanyisha mapenz mtu na fisi. Pia tamaaa na ujinga vilichangia.
Najua licha ya kutumia jina bandia, nina uhakika mliokuwa wateja wangu mtanijua, nawaomba sana msije kunidhuru kwa maana kama nlivyosema sikufanya kwakupenda, na pia msiogope sitawataja majina yenu halisi humu.
Natumai tumeelewana.
Acha nianze kuwasimulia kisa chenyewe.
Kwa majina naitwa Lucy Haule, nilizaliwa mwaka 1992 jijini dar es salaam. Mama yangu anaitwa Mage Haule, na baba yangu simfahamu.
Nikiwa na miaka kumi, niligundua Mama yangu anafanya kazi ya ukahaba, alikuwa anaendesha maisha yake kwa njia ya kujiuza. Na sio yeye tu, mtaa tuliokuwa tukiiishi wanawake wote walikuwa wanajiuza.
Mazingira tuliyoishi yalikaa kingono ngono, muda mwing watu walishiriki ngono, kama sio kufanya basi waliongelea ngono! Hii ilinifanya nione ngono ni jambo la kawaida.
Mara kadhaaa nilimkuta Mama akifanya mapenzi na wanaume tofauti tofauti. Alikuwa akifanya kwa uwazi pasipokujali wala kuwa na wasiwasi . Mfano, siku za jumamosi na jumapili ambazo sikuwa naenda shule, nilimshuhudia akifanya mapenzi na wanaume zaidi ya kumi kwa siku moja.
Alikuwa akitoka huyu anaingia huyu.
Licha ya kuyashuhudia hayo, mama alinionya nisijaribu kufanya. Aliniambia eti nisome kwa bidiii ili nije kuwa mfanyakazi wa serikali! Ah..ah..ah..ah. Uwa nacheka nikikumbuka malengo ya mama juu yangu.
Miaka yote niliyoishi na mama tuliishi vizuri sana, Hakukuwa na shida za kijinga jinga, kwa siku Mama alikuwa akiingiza zaidi ya elfu 50. Ukitoa pango na matumizi madogo madogo elfu 30 ilibaki ambayo alimtumia bibi kijijini kwetu Njombe.
Kupitia elfu 30 aliyokuwa anamtumia , bibi alijenga nyumba nzuri kijijini kiasi cha majirani kuzani mama anafanya kazi serikalini.
Baada ya nyumba kukamilika , mama alianza kucheza michezo ili apate hela anunue shamba la miti , Bibi alimwambia kama atanunua shamba la miti basi ndani ya miaka kadhaaa atakuwa tajiri.
Alijiunga kwenye vikundi zaidi ya kumi, kote huko kwa siku alikuwa anapeleka zaidi ya elfu kumi. Haikuchukua muda zamu yake ilifika, alichukua hela yake. Nakumbuka ilikuwa zaidi ya milioni 7, alimtumia bibi kijijini anunue shamba la miti yeye akaendelea kukomaa na kazi yake huku akipeleka hela kwenye vikundi.
Sasa baada ya kuchukua hela, pale mtaani walihamia mabinti watatu kutoka Bukoba ambao nao walikuwa wanajiuza,walikuwa wazuri balaaa. Uzuri wao ulifanya wateja wote wa pale mtaani wahamie kwao.
Mama na wenzake walidoda kwakukosa soko.
Muda wote kwenye vyumba vya wale mabinti wanaume walikuwa wamepanga mstari kusubir zamu zao! Yaani wakat mama na wenzake wamekosa soko! Kwao ilikuwa hakuna kupumzika! Anatoka huyu anaingia yule.
Mama na wenzake walijaribu kutumia mbinu mbali mbali lakini walishindwa. Wateja wote walilowea kwa wale mabinti! Na mbaya zaidi walikuwa wanawasifu kwa utamu.Ni kama waliweuka hivi.
“ Mmmh! hivi hawa mabinti majini au? Muda wote wanafanya tu? ….hawachoki?” Aliuliza nasra, shoga yake mama.
“ Hata sielewi shoga….sijui tutaishiji hivi.” Alijibu mama.
Biashara ya mama ilidoda kiasi kwamba hata hela ya kula tukawa tunakosa, mbaya zaidi mama alikuwa na michezo ambayo ilibidi apeleke hela. Ugumu wa biashara ulifanya ashindwe kabisa kupeleka.
Kushindwa kupeleka hela kulipelekea wenzie wamnyanganye vitu vyake! Walichukua kitanda changu na vitu vingine vya ndani. Ilikuwa fedhea sana, Licha ya wachache kuchukua, bado madeni yalikuwa mengi maana alikuwa anacheza vikundi vingi.
Siku moja majira ya saa mbili usiku tukiwa hatujala toka asubuhi alifika mzee mmoja ambaye alikuwa mteja wa mama. Mama aliinuka alipokaa kwa furaha na mahaba yote.
“ Karibu Ahmed….leo nitakuhudumia wewe tu! Nitakupa penzi ambalo hujawahi kulipata..” ALiongea mama kwa madaha yote.
Ahmed hakumjibu kitu, badala yake aliingiza mfukoni akatoa noti kadhaa za elfu kumi kumi. Aliziweka mezani, mama haraka haraka alizihesabu, ilikuwa ni laki moja na hamsin, Mama kwa mahaba yote alitabasamu na kumsogelea Ahmed.
Ahmed alimsukuma.
‘ Sikia mama lucy… leo mimi sijafika kwa ajili yako! Wewe nimeshakuchoka. Nataka kitu kipyaa.”
“ Kitu kipya?” ALiuliza Mama kwa mshangao.
‘ Ndio.. unajua maisha yangu yote sijawahi kumtoa mwanamke usichana .. naomba chukua hela kisha niruhusu nilale na mwanao..” Aliongea akiwa ananitazama kwa uchu
Nakuja
Jose Author Tena.
UshafeliWAKATI NAJIUZA NILIWAFANYISHA WATU MAPENZI NA FISI BILA YA WAO KUJUA 09
“ Hutakiwi kuruhusu usichana wako utolewe na boya huyu…twende huku..twende kwangu nitakupa kila kitu..mimi nina hela kuliko huyu fala ..” ALiongea Anord.
Ubongo wangu ulifanya kazi haraka nikaona sitakwi kushangaaa. Kuolewa na muuza urembo na mwanajeshi ni bora na mwanajeshi! ALivyonishika mkono sikushangaaa, nilimfata mpaka chumbani kwake.
Alinifungia ndani kwake kisha akatoka nje.
“ Umemuona yule binti akitoka humu ndani?” Nilimsikia shaban akimuuliza Anord. Anord alikataa kuniona. Shaban alihaha kunisaka pasipo mafanikio.
……………..
Baada ya kuhakikisha kila kitu kipo sawa nje! Anord aliingia ndani.
“ jamaa kaamini umeondoka! Sasa hapa tunafanya yetu kisha usiku nakuhamisha hapa. Utaenda kukaa kwa dada kule juu halafu tutafanya taratibu tuhamiie sehemu nyingine.” ALiniambia.
Nilikubalina nae
Muda ule ula alinivamiaa. ALinivua nguo zangu zote, Kama ilivyokuwa kwa shaban alinishika hpa na pale. Alinifanyia hiki na kile, mwisho kabisa aliniingia. Looh. Maumivu niliyoyasikia mungu mwenyewe anajua. Kiukweli nilumia sana.
Mbaya zaidi anord hakujali. Aliniingia kwa nguvu zote! Nilipokuwa nalia ni kama nilikuwa namwambia aendeleeee.
Damu ilinitoka. Machozi pia yalinitoka. Nililia sana.
Anord hakujali ni kama alikuwa anashindana na mtu hivi! Aliendelea vile vile mpaka alvyofika mwisho. Alijilaza pembeni yangu akawa anahema juu juu.
Dakika kumi na tano mbele alisimama na kuelekea msalani! Alijisafsha kisha akarudi pale nilipokuwa mimi nikiugulia! Kitu cha ajabu hata pole hakunipa.
“ Nimefurahi sana..” ALiniambia meno yake yote yakiwa nje. Aliitupa salama kwenye dustibin kisha akawa anajishika shika maungo yake. Aliwasha tv kisha akajiliza kuitazama pasipokuniambia lolote la maana.
Nilijaribu kusimama nilishindwa. Maumivu yalikuwa makali sana. Nilijikaza hivyo hivyio nikasimama na kuelekea msalani. Chumba chake kilikuwa na choo ndan. Nilijisafisha kisha nikarudi pale barazani.
“ Nisubiri nakujaaa..” ALiniambia.
Alitoka nje na kuniacha ndani peke yangu. Sekunde zilikatika, masaa yalikatika na dakika pia zilikatika. Anord hakurudi, muda ulivyokuwa unaenda njaaa kali ilinshika. Nilihitaji chakula lakini sikuwa na uwezo wa kukipata, mbaya zaidi nilikuwa ugenini.
Nilisimama pale barazani na kuangaza angaza vitu kwenye masufuria labda naweza kuambulia chochote lakini ilikuwa bure! Sikupata kitu.
Mwisho kiunyonge sana nilijilaza kwenye sofa nikapitiwa na usingizi.
……………………..
Nilikuja kushtuliwa usingizini mida ya saa tano usiku. Anord aliniamsha.
“ Nifanyie mpango wa chakula..nina njaa sana..” Nilimwambia.
“ Usijali..” ALiniambia akiwa na kijiti mdomoni, pia alikuwa akinuka harufu ambayo sikuwa naielewa vizuri. Baada ya kutulia niligundua ilikuwa ni harufu ya chipsi. Bila shaka alivyotoka alienda kununu chips na kula.
“ Unaitwa nani vile?” Aliniulza. Muda wote niliokuwa nae nilikuwa sijamwambia jina langu, japo yeye lake alikuwa kaniambia. Nilimweleza jina langu.
“ Eeeh! Honger..unajina zuri sanaaa..” Aliniambia.
“ Ahsante..”
“ Sasa lucy! Chakula mimi nitaenda kukununulia, lakini kabla ya yote tungeondoka humu ndani, maana Shabn akija kugundua ulikuwa humu itakuwa kimbembeee.” ALiniambia.
“ Kwahio naenda wapi?”
“ Utaenda kukaa kule kwa dada yangu kama nilivyokuambia, mimi nitaweka mambo sawa kazini kisha nitatafuta nyumba tutaishi wote..” ALiniambia. Nilikubaliana nae. Niltoka nae pale na kuelekea upande wa mshariki.
Tukiwa mitaa kadhaa kutoka pale, Anord aliniambia nimsubiri anaenda kuninunulia chakula. ALiniacha nimesimama akaondoka.
……………….
Nikiwa pale muda ulienda sana pasipo anord kuonekana, niliamua kwenda kwenye kibanda alichosema anaenda kuninunula chipsi.
“ Samahni kaka! Hivi anord alifika hapa kununua chipsi?” Nilimuuliza.
“ Anord yupi! Yule mweupe anayekaaa pale?” ALiniuliza.
“ Ndio yule wa pale ambae ni mwanajeshi..”
‘ Mwanajeshi?” ALiulza muuza chipsi kwa mshangao.
“Ndio mwanajesh wa pale..” Nilimjibu. Badala ya kuongeza neno, yule muuza chips alianza kucheka.Lakini akiwa anacheka, katika hali isiyokuwa ya kawaida, mbele yangu alitokea shaban akiwa anahema juu juu.
“ Ulienda wapi lucy? Mbona umenitesa sana..nilikuacha chumbani, kwanini uliondoka?”Aliniuliza.
Nakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uchangudoa/ Umalaya sio Dili wanawake kubalini hata kuuza mbogamboga kuliko hii mishe ya Umalaya. Asante sana Jose Author
Ushafeli
Tuwe tunaitana jamani
Balaa