Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Giving birth explosions brings out troublesHivi toka uhuru mpaka leo bado tunahangaika na maji na umeme kweli kwa watu wetu? Kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Giving birth explosions brings out troublesHivi toka uhuru mpaka leo bado tunahangaika na maji na umeme kweli kwa watu wetu? Kweli?
Bila shaka unalamba hichi kimiminika..Miongoni mwa jambo ambalo litashughukikiwa haraka ni mradi wa maji toka rufiji, hakika viongozi wetu ni werevu kweli stay tune......!
Tatizo changamoto za miaka yote zinabaki pale pale pamoja na kwenda huko nje kujifunza.UONGOZI NI PAMOJA NA KUPATA EXPOSURE KUBADILISHANA MAWAZO NA WENZAO MLITAKA WAKAE HUMU NCHINI KAMA YULE, NENDENI VIONGOZI WETU TUNAAMINI MTAJIFUNZA KWA WENGINE NA SIO KUJIFUNGIA NDANI KAMA WANAWALI.
ofisi ya raisi ni taasisi mkuu. siyo mtu ndiyo maana hata magufuli alikufa tarehe 12 lakini official ilitangazwa tarehe 17/3/2021. tuseme pale ikulu mambo yalisimama?Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast, Waziri mkuu yuko Korea Kusini, mwanziri wengine wako Misri, wengine Kenya, wengine ulaya.
Kusafiri ni jambo jema lakini kusafiri safiri sio jambo jema.
Sielewi, viongozi wetu akili zao zinawaza kwamba tutatatua changamoto zetu kwa wao kusafiri safiri kweli? Kikwete alitumia miaka 2 ya uongozi wake kua nje ya nchi lakini bado tuko masikini.
Ingekua safari za nje zinaleta maendeleo kwa safari za Kikwete Tanzania ingekua kama California ama Texas kwa maendeleo ama hata kama Ujerumani maana kwa kikwete viongozi wote wakubwa Duniani walikuja Tanzania lakini mwisho wake tuliishia kuibiwa kwa mikataba ya hovyo.
Rais ni mfariji mkuu wa nchi lakini wakati huu ambao taifa linakabiliwa na changamoto kibao, viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Tanzania alieturoga alituweza.
Wapigwa miti kama kawaida yenu.Miongoni mwa jambo ambalo litashughukikiwa haraka ni mradi wa maji toka rufiji, hakika viongozi wetu ni werevu kweli stay tune......!
😁🤔🤔🤔🤔Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast, Waziri mkuu yuko Korea Kusini, mwanziri wengine wako Misri, wengine Kenya, wengine ulaya.
Kusafiri ni jambo jema lakini kusafiri safiri sio jambo jema.
Sielewi, viongozi wetu akili zao zinawaza kwamba tutatatua changamoto zetu kwa wao kusafiri safiri kweli? Kikwete alitumia miaka 2 ya uongozi wake kua nje ya nchi lakini bado tuko masikini.
Ingekua safari za nje zinaleta maendeleo kwa safari za Kikwete Tanzania ingekua kama California ama Texas kwa maendeleo ama hata kama Ujerumani maana kwa kikwete viongozi wote wakubwa Duniani walikuja Tanzania lakini mwisho wake tuliishia kuibiwa kwa mikataba ya hovyo.
Rais ni mfariji mkuu wa nchi lakini wakati huu ambao taifa linakabiliwa na changamoto kibao, viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Tanzania alieturoga alituweza.
Hicho nacho ni kitu cha kuzindua?Majaliwa yupo na kesho anazindua vishikwambi Wizara ya Elimu
Kwa hiyo Mhe. PM jana alikuwa Kigamboni na leo Dodoma, halafu karudi Seoul, S. Korea? Hadi sasa yupo Korea? Aisei...mitandao hii. 🙏🙏🙏Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast, Waziri mkuu yuko Korea Kusini, mwanziri wengine wako Misri, wengine Kenya, wengine ulaya.
Kusafiri ni jambo jema lakini kusafiri safiri sio jambo jema.
Sielewi, viongozi wetu akili zao zinawaza kwamba tutatatua changamoto zetu kwa wao kusafiri safiri kweli? Kikwete alitumia miaka 2 ya uongozi wake kua nje ya nchi lakini bado tuko masikini.
Ingekua safari za nje zinaleta maendeleo kwa safari za Kikwete Tanzania ingekua kama California ama Texas kwa maendeleo ama hata kama Ujerumani maana kwa kikwete viongozi wote wakubwa Duniani walikuja Tanzania lakini mwisho wake tuliishia kuibiwa kwa mikataba ya hovyo.
Rais ni mfariji mkuu wa nchi lakini wakati huu ambao taifa linakabiliwa na changamoto kibao, viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Tanzania alieturoga alituweza.
Nchi imegeuka kuwa kama basi lenye abiria, huku likiwa halina dereva! Inafikirisha sana. Watu wanapishana tu angani.Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast, Waziri mkuu yuko Korea Kusini, mwanziri wengine wako Misri, wengine Kenya, wengine ulaya.
Kusafiri ni jambo jema lakini kusafiri safiri sio jambo jema.
Sielewi, viongozi wetu akili zao zinawaza kwamba tutatatua changamoto zetu kwa wao kusafiri safiri kweli? Kikwete alitumia miaka 2 ya uongozi wake kua nje ya nchi lakini bado tuko masikini.
Ingekua safari za nje zinaleta maendeleo kwa safari za Kikwete Tanzania ingekua kama California ama Texas kwa maendeleo ama hata kama Ujerumani maana kwa kikwete viongozi wote wakubwa Duniani walikuja Tanzania lakini mwisho wake tuliishia kuibiwa kwa mikataba ya hovyo.
Rais ni mfariji mkuu wa nchi lakini wakati huu ambao taifa linakabiliwa na changamoto kibao, viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Tanzania alieturoga alituweza.
Mimi natamani sana hata sasa, wakiwa huko nje, wakirudi tu wakute viti wanavyokalia kuanzia Rais, VP na huyo PM vimechukuliwa na nchi imepata serikali nyingine...!!!Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast, Waziri mkuu yuko Korea Kusini, mwanziri wengine wako Misri, wengine Kenya, wengine ulaya.
Kusafiri ni jambo jema lakini kusafiri safiri sio jambo jema.
Sielewi, viongozi wetu akili zao zinawaza kwamba tutatatua changamoto zetu kwa wao kusafiri safiri kweli? Kikwete alitumia miaka 2 ya uongozi wake kua nje ya nchi lakini bado tuko masikini.
Ingekua safari za nje zinaleta maendeleo kwa safari za Kikwete Tanzania ingekua kama California ama Texas kwa maendeleo ama hata kama Ujerumani maana kwa kikwete viongozi wote wakubwa Duniani walikuja Tanzania lakini mwisho wake tuliishia kuibiwa kwa mikataba ya hovyo.
Rais ni mfariji mkuu wa nchi lakini wakati huu ambao taifa linakabiliwa na changamoto kibao, viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Tanzania alieturoga alituweza.
Autopilot! Mwenge huo!Kumbe nchi inajiongoza yenyewe? (Auto pilot) wanajeshi wetu mnakwama wapi?
Watz mazuzu! Mwenge wa uhuru!Kwa jinsi tatizo la maji lilivyo serious kwa wenzetu nchi ingepinduliwa
Yaani nchi mzima ipo kwenye tatizo la serious la maji halafu mnaacha tu na kwenda nje kutalii!!!
Katili Sana huyu Jiwe!
Kenge wewe!Bila shaka unalamba hichi kimiminika..![]()
Akisafiri kuna faida gani? Angewaambia waje hapa! Hakuna lolote!ofisi ya raisi ni taasisi mkuu. siyo mtu ndiyo maana hata magufuli alikufa tarehe 12 lakini official ilitangazwa tarehe 17/3/2021. tuseme pale ikulu mambo yalisimama?
raisi wa nchi hawezi kuepuka kusafiri.... tujiepushe na kasumba kwamba sitaki kusafiri ati atapigwa... ukiona na kusikia hayo ujue huyo kiongozi hawezi kuamini mifumo yake mwenyewe
TUSIKUBALI KUJINGISHWA na kufanywa MAZUZU
Waziri Mkuu anazindua upuuzi! Mbona waziri wa mawasiliano angetosha tu!Hicho nacho ni kitu cha kuzindua?