Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

Humu kuna watu mnalamba asali afu mnakuja kufoka.
Mkijulikana mkatimuliwa kwenye asali zenu msije laumu hapa.

Maana kuna watu mnafoka na mpo kwenye mishahara mizuri ya serikali.
Panga litafika na huku.
Mi nimekaa paleee
 
UONGOZI NI PAMOJA NA KUPATA EXPOSURE KUBADILISHANA MAWAZO NA WENZAO MLITAKA WAKAE HUMU NCHINI KAMA YULE, NENDENI VIONGOZI WETU TUNAAMINI MTAJIFUNZA KWA WENGINE NA SIO KUJIFUNGIA NDANI KAMA WANAWALI.
Tatizo changamoto za miaka yote zinabaki pale pale pamoja na kwenda huko nje kujifunza.
 
ofisi ya raisi ni taasisi mkuu. siyo mtu ndiyo maana hata magufuli alikufa tarehe 12 lakini official ilitangazwa tarehe 17/3/2021. tuseme pale ikulu mambo yalisimama?
raisi wa nchi hawezi kuepuka kusafiri.... tujiepushe na kasumba kwamba sitaki kusafiri ati atapigwa... ukiona na kusikia hayo ujue huyo kiongozi hawezi kuamini mifumo yake mwenyewe
TUSIKUBALI KUJINGISHWA na kufanywa MAZUZU
 
😁🤔🤔🤔🤔
 
Kwa hiyo Mhe. PM jana alikuwa Kigamboni na leo Dodoma, halafu karudi Seoul, S. Korea? Hadi sasa yupo Korea? Aisei...mitandao hii. 🙏🙏🙏
 
Nchi imegeuka kuwa kama basi lenye abiria, huku likiwa halina dereva! Inafikirisha sana. Watu wanapishana tu angani.
 
Ila nimefuatilia misafara ya mapokezi ya Waziri Mkuu kule Japan na Korea na Rais Samia kule Uchina,Cha kushangaza sijaona Landcruiser VX V8 au viongozi wa uko hawapendi ilihali ni matajiri kuliko sisi?
 
Mimi natamani sana hata sasa, wakiwa huko nje, wakirudi tu wakute viti wanavyokalia kuanzia Rais, VP na huyo PM vimechukuliwa na nchi imepata serikali nyingine...!!!

Hamjanielewa bila shaka. OK...

Nina maana wakute SAMIA SULUHU HASSAN AMESHA PINDULIWA na mtu mwingine amekalia kiti chake..!!!

Unajua inachosha sana kuwa na viongozi wasio na akili wala maarifa ktk maamuzi yao...

Ifike muda tukubali tu kupitia njia ngumu na ya maumivu ili kuleta mabadiliko ya kiuongozi na kimfumo ktk nchi hii...

Honestly, let's say ENOUGH is ENOUGH.. Nchi hii si vyema tena iendelee kuwa na Rais picha tu. Rais Samia ni picha tu. Hatuna Rais...

Yaani ni afadhali ya yule aliyekwisha kufa, yaani John P. Magufuli. Alikuwa anaumiza, lakini kuna maeneo lilikuwa vizuri sana...

Lakini huyu mama huyu, hakuna kitu. Yaani kawakabidhi nchi wakora na yeye ni mtia saini tu na muhuri...!
 
Kwa jinsi tatizo la maji lilivyo serious kwa wenzetu nchi ingepinduliwa

Yaani nchi mzima ipo kwenye tatizo la serious la maji halafu mnaacha tu na kwenda nje kutalii!!!
Watz mazuzu! Mwenge wa uhuru!
 
Akisafiri kuna faida gani? Angewaambia waje hapa! Hakuna lolote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…