game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Huwa napata raha sana ya kuwakumbushia hilo, na kwa kasi ambayo pengo linazidi kuongezeka ni dhahiri vizazi vijavyo kama vitano hivi watakua wanaendelea kuwakumbushia.....
Hiyo mentality ya kushindana na Tz ndio imepelekea Kenya haina Vipaumbele kama taifa,
Ndio maana unakuta slums zimejaa kila kona,
Maelfu wanakufa njaa na maelfu wapo kwenye umaskini wa kutupwa.
Tz tunafanya yetu nyie kutwa kushindana.
Hamna kitu Kenya inaizidi Tz kwa Ground.