Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

Yaani Kenya kwa mara ya kwanza tumeweza kutumia umeme wa zaidi ya 2,000 MW. Ukanda huu Ethiopia pekee ndio wanaotumia umeme mwingi kutushinda. Wenzetu wa kusini bado wapo nyuma kwenye matumizi ya umeme.

=====

Power consumption reaches all-time high

MONDAY NOVEMBER 29 2021

By BRIAN NGUGI
  • Data by the Energy and Petroleum Regulatory Authority (Epra) showed that Kenya’s maximum power demand crossed the 2,036-megawatt (MW) mark this week.
  • The country recorded a decline in demand for electricity last year when industries and other businesses cut down their activities in response to the Covid-19 pandemic.
  • The increase in power consumption points to the resumption of activities in the manufacturing sector and large businesses such as malls and offices.
Electricity consumption by homes and factories in Kenya hit an all-time high last week, indicating improving economic activities in the country.

Data by the Energy and Petroleum Regulatory Authority (Epra) showed that Kenya’s maximum power demand crossed the 2,036-megawatt (MW) mark this week, the highest ever recorded in history from a record low 1,661MW in April 2020 at the height of the Covid 19 pandemic.

The jump which represents a 22.58 percent growth over the 19-month period signals economic recovery from Covid-19 economic hardships, said power producer Kenya Electricity Generating Company (KenGen) yesterday.

“(This marks) a significant resurgence in demand since the onset of the Covid-19 pandemic in March 2020,” said KenGen in a statement.

The country recorded a decline in demand for electricity last year when industries and other businesses cut down their activities in response to the Covid-19 pandemic.

The Covid knocks saw economic activity contract 5.5 percent at the height of travel restrictions and trade shutdowns in the April-June 2020 period before the slump slowed to a 1.1 percent in July-September after easing of some of the measures.

This period ushered in layoffs and pay cuts as firms grappled with flagging sales due to restrictions imposed to limit the spread of the new coronavirus. Power demand is often an indicator of the number of electrical equipment plugged onto the national grid — including home appliances such as TVs, electric cookers, washing machines, and industrial machinery — pointing to economic output. The increase in power consumption points to the resumption of activities in the manufacturing sector and large businesses such as malls and offices.

Commercial and industrial consumers account for the largest share of electricity sales at 55 percent, followed by domestic at 29 percent, according to data from Epra.Small businesses and street lighting account for 15 percent and one percent respectively.Some companies continue to allow their employees to work from home, indicating higher consumption from households.

Last year, there was a slowdown in economic activity caused by delays in the global supply of materials, reduced operating hours, and production capacity due to low demand. Measures to curb the spread of Covid -19, including restrictions on movement around the country and the closure of bars, hit activity.

Some of those measures have now been eased. KenGen currently accounts for 72 percent of all electricity produced in the country with 80 percent coming from renewable sources of energy.“KenGen is committed to ensuring a steady and reliable supply of competitively priced energy to support Kenya’s economy,” KenGen chief executive Rebecca Miano said. “The company is doing this by accelerating the deployment of renewable energy sources such as hydro, geothermal, wind and solar.”Geothermal and wind power have helped reduce dependence on hydropower plants, which have higher fuel energy costs.bnjoroge@ke.nationmedia.com

Source: Business Daily
Tuachane na habari za makaratasi tizama hiyo picha kenya yote ni giza isipokuwa mombasa na nairobi pia tanzania tunatumia gasi mkumbuke hiyo tunapikia gesi na viwanda vinatumia gesi vingi tu
 

Attachments

  • satellite-photo-of-europe-at-night-lg.jpg
    satellite-photo-of-europe-at-night-lg.jpg
    56.8 KB · Views: 2
Kenya ni 30% pekee ndio kuna national grid angalau passage ya umeme kuanzia kilovolt 180 the remaining Kenya is in total darkness

Yaani Kenya sijui mtaacha lini kupika data, sasa huwa mnaongoza kwa umeme upi wakati 70% ya taifa lenu halina electricity network?

View attachment 2029961View attachment 2029962


Kwa Tanzania hayo maeneo unayoona grid haijapita ni national parks, mind you 4o% ya Tanzania ni inhabited reserved area

View attachment 2029963


Yaani ninyi watu bado sana

Hahahaha, wakijujibu nitag
 
Kenya sisi pia tuna umeme excess. Mnafanya ujinga kutegemea kwamba sisi tutanunua umeme mwingi kutoka kwenu.
Msipo nunua umeme kutoka tz basi tegemeeni kuwa masikini zaidi kuliko nchi zote hapa east africa maana umeme wetu utakuwa very chip na wauwakika na kuvutia wawekezaji kutoka pandezote za dunia kukimbilia tz kuwekeza badala ya nchi jirani zetu,kingine tz tutaachana na majiko ya mkaa na kutumia ya umeme hivyo bei ya gesi italazimika kushuka ili kukabili ushindani wa umeme wa,maji na hii ndiyo maana mafisadi wadau wa gesi wanajaribu kukwamisha huu mradi wa bwawa la nyerere usiku na mchana
 
Hahahaha, wakijujibu nitag
Hahaha Kenya ni Nairobi tu, ukitoka hapo hakuna Kenya, maeneo ya wa Kikuyu na Kalenjin pekee ndio yenye ahueni ya maisha in all levels, huko upper Kenya hawana kila kitu hata lami hawajawahi kuiona.
 
600 MW sio mchezo. Itawachukua miaka kumi kufika hapo.
Really..with the SGR underconstruction

1.kumbuka most mines where not connceted to the 0national.grid..currently they are being connceted some

2..Kumbuka most industriers in Dar and Pwani use Gas from Mtwara gas pipeline so they dont consume grid electricity..mfano Twiga Cement uses 40MW ..

TBL
Serengeti Brew
over 42 industries..meaning tuki assjme atleast 10mw average ni 420 mw
View attachment 2030039
 
Kwanza tuelewane kwamba umeme wa majority wa viwanda vyetu ambao ni mkubwa haujawa included kwenye hiyo number.

Then umeme wa Nyerere utasaidia kushusha zaidi bei ya umeme chini sababu utazalishwa kwa bei ndogo kuliko gas na utauzwa nje kwa wingi, nusu ya umeme wa Nyerere utauzwa nje na wateja wapo.
South Africa wanahangika na mgao wa umeme for 3 years now almost cause umeme hauwatoshelezi na mitambo yao imezeeka
 
Really..with the SGR underconstruction

1.kumbuka most mines where not connceted to the 0national.grid..currently they are being connceted some

2..Kumbuka most industriers in Dar and Pwani use Gas from Mtwara gas pipeline so the dont consume grid electricity..mfano Twiga Cement uses 40MW ..
Yaani minings zote za Tanzania zikiunganishwa na grid hata umeme uliopo saivi utapelea, tuna off grid megawatts zaidi ya 1000
 
Kuna kitu kinaitwa East Afica Power Pool (EAPP) hii ni interconection Kubwa katika Ukanda huu ita involve Voltage level ya 400kV kiasi kwamba iniative zimesha anza kwa kuwa tayari Ujenzi wa Line kutoka Isenye kenya to Singida Via Arusha uko Mbioni kukamilika kama sio umekamilika nini mana ya hii regional interconnection tutaweza kuuziana Umeme kwa Kuangalia mwenye Shortage na Excess BTW, Tanzania now tuna Mega projects nyingi tu zinazohitaji Umeme kama SGR

Mzee Sisi hatujengi Bwawa La Mwalimu Nyerere kwa Kutegemea tuuze umeme nje ya nchi
Hio itakuwa kama Surplus just incase tukiwa na Excess kwenye Grid, Kiufupi ni kuwa tuna Off Grid Potential Customers wengi tu ikiwemo Minining sites
 
[emoji3] Ila wakenya mnakitunza sana kiswahili,, hili neno ,,kisugudi" nimelitumia zaidi ya miaka kumi huko nyuma.
Mw 2000,,, Hongereni, hope zitawasaidia kulipa madeni ya mchina.
 
Sisi pia tunazalisha umeme mwingi kushinda matumizi yetu. Mumefanya ujinga kujenga powerplant kubwa kwa ajili ya kuuzia majirani umeme. majirani wenyewe wanajitosheleza kwa uzalishaji wa umeme. Mtabaki na umeme wenu.


Umeme ni nyanya zisipopata mteja zinaoza??!!, au tuseme umeme wenu mnautumia wote na hakuna ziada??--- hiyo ziada inaoza kama haiozi mnaipeleka wapi??, isitoshe Tz ni kubwa kwa eneo na population kuliko nchi yoyote ya EA hivyo umeme huo utapata matumizi kwenye Investment kubwa hapo baadaye kumbuka umeme wenyewe ni HEP, kifupi ni kwamba umeme huo ni cheap na hivyo utavutia wawekezaji kujenga hata heavy industries.

"We Tz think for 20 yrs to come unlike you Kenyans think for 2yrs to come".
 
Kwa research gani uliofanya? Kusingekua na mradi mkubwa wa southern Africa power pool project wenye grid ya 400 kilovolt umeunga mataifa yote ya southern Africa na Tanzania kwa lengo la kuuziana umeme, mataifa mengi yaliotuzunguka yanatumia umeme wa majenereta ambao ni ghali mara 20 ya umeme wa maji, hawawezi kukataa cheap electricity kutoka Tanzania

Na Chengine usijione wewe una akili sana kuwazidi wataalam wa nje na ndani ya nchi waliofanya due diligence and feasibility studies za kutosha kuhusu huu mradi na wakaona ni mradi wa maana, Huwezi kuwafikia hata theluthi ya ufahamu wao, we saga pumba tu lakini you got nothing to talk about
Wewe hujui lolote kuhusu jambo hili, wacha nikupe darasa. Hivi unajua Tanzania yenyewe bado haijaunga nyaya zake na Southern Africa powerpool? Sasa sijui mtawauzia nchi za SADC umeme vipi ikiwa hata hamjaunga nyaya zenu za umeme na zao?
 
Ninyi mnaouziwa umeme na waganda lini mmekua na umeme wa kutosha?

Mnaweza kuwa na umeme hapo Nairobi lakini counties za pembezoni mlipofunga majenereta na ni off grid pasiwe na umeme wa kutosha hivyo ikawalazimu kununua umeme kutoka nchi jirani sababu ya eneo la off grid, kwa sasa projects zote za Tanzania zikikamilika, Tanzania ndio litakua taifa pekee ukanda huu lenye mtandao mkubwa wa national grid network almost mikoa yote nchini itakua connected
Tunanunua chini ya 30 MW kutoka Uganda. Hio 30 MW tunaonunua kutoka kwao ni kidogo sana ukizingatia kwamba kwa sasa Kenya inaconsume 2,036 MW. Nyie tutanunua kutoka kwenu 20 MW pekee usijali tunawapenda majirani zetu.😂😂🤣
 
Wewe hujui lolote kuhusu jambo hili, wacha nikupe darasa. Hivi unajua Tanzania yenyewe bado haijaunga nyaya zake na Southern Africa powerpool? Sasa sijui mtawauzia nchi za SADC umeme vipi ikiwa hata hamjaunga nyaya zenu za umeme na zao?
Sasa mimi na wewe yupi hajui lolote?



 
Eti uwekeze mabilioni ya fedha kwenye mradi mkubwa wa umeme, kisa majirani watanunua. Upuuzi mtupu ambao sijawahi kuona maishani. Uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana. Subiri uone umeme huo ukikaa idle bila matumizi.
 
Tunanunua chini ya 30 MW kutoka Uganda. Hio 30 MW tunaonunua kutoka kwao ni kidogo sana ukizingatia kwamba kwa sasa Kenya inaconsume 2,036 MW. Nyie tutanunua kutoka kwenu 20 MW pekee usijali tunawapenda majirani zetu.😂😂🤣
Wewe unaongeaga kimihemko zaidi bila factual basis, ulisema hamnunui umeme sababu mnao wa ziada wakati mnanunua umeme mpaka Uganda, Ethiopia wanawauzia Megawatts ngapi wao?
 
Eti uwekeze mabilioni ya fedha kwenye mradi mkubwa wa umeme, kisa majirani watanunua. Upuuzi mtupu ambao sijawahi kuona maishani. Uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana. Subiri uone umeme huo ukikaa idle bila matumizi.
Ninyi hata kujadili umeme ni kujidhalilisha tu ni sawa na mtu anaejadili riadha wakati hana miguu, jikiteni kwenye transmission lines sababu hata Burundi wamewapita
 
Kenya ni 30% pekee ndio kuna national grid angalau passage ya umeme kuanzia kilovolt 180 the remaining Kenya is in total darkness

Yaani Kenya sijui mtaacha lini kupika data, sasa huwa mnaongoza kwa umeme upi wakati 70% ya taifa lenu halina electricity network?

View attachment 2029961View attachment 2029962


Kwa Tanzania hayo maeneo unayoona grid haijapita ni national parks, mind you 4o% ya Tanzania ni inhabited reserved area

View attachment 2029963


Yaani ninyi watu bado sana
Bro jifunze kwanza kuhusu Kenya ili uje kupost. Hayo maeneo ambayo hayana grid network pia yana watu wachache mno. Watu wengi Kenya wanaishi kusini na magharibi mwa Kenya kwa sababu huko ndiko kuna mito, mvua, ardhi yenye rutuba na chakula kwa wingi. Hata jua sio kali sana. 90% ya Wakenya wanaishi kusini, magharibi na kati mwa Kenya. 10% ya Wakenya ndio wanaoishi sehemu kame za Kaskazini na kaskazini mashariki. Narudia tena, asilimia kidogo sana ya Wakenya wanaishi katika eneo hizo kame za jangwa.
 
Tuachane na habari za makaratasi tizama hiyo picha kenya yote ni giza isipokuwa mombasa na nairobi pia tanzania tunatumia gasi mkumbuke hiyo tunapikia gesi na viwanda vinatumia gesi vingi tu tuView attachment 2029983
View attachment 2029986
Sasa kama mnajua kwamba viwanda vyenu vinatumia gesi badala ya umeme mbona sasa mumeamua kufanya ujinga wa kujenga powerplant ya kuzalisha 2,300 MW ya umeme? Au mtalazimisha viwanda vyenu viwache kutumia gesi virudi tena kutumia umeme?
 
Back
Top Bottom