chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Hahaha wakenya zaidi ya million 30 wanaishi kwenye majangwa na wengine wanapakimbia sababu ni kama jehanam, pamesahaulika hakuna miundombinu yoyote ya binadamu kuishiBro jifunze kwanza kuhusu Kenya ili uje kupost. Hayo maeneo ambayo hayana grid network pia yana watu wachache mno. Watu wengi Kenya wanaishi kusini na magharibi mwa Kenya kwa sababu huko ndiko kuna mito, mvua, ardhi yenye rutuba na chakula kwa wingi. Hata jua sio kali sana. 90% ya Wakenya wanaishi kusini, magharibi na kati mwa Kenya. 10% ya Wakenya ndio wanaoishi sehemu kame za Kaskazini na kaskazini mashariki. Narudia tena, asilimia kidogo sana ya Wakenya wanaishi katika eneo hizo kame za jangwa.
Tanzania pia ina maeneo mengi tena yenye rutuba haswa yaliyo less populated lakini hukosi huduma zilizoboreshwa za kijamii huko eti kisa kuna wananchi wachache