Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

Tuachane na habari za makaratasi tizama hiyo picha kenya yote ni giza isipokuwa mombasa na nairobi pia tanzania tunatumia gasi mkumbuke hiyo tunapikia gesi na viwanda vinatumia gesi vingi tu
 

Attachments

  • satellite-photo-of-europe-at-night-lg.jpg
    56.8 KB · Views: 2

Hahahaha, wakijujibu nitag
 
Kenya sisi pia tuna umeme excess. Mnafanya ujinga kutegemea kwamba sisi tutanunua umeme mwingi kutoka kwenu.
Msipo nunua umeme kutoka tz basi tegemeeni kuwa masikini zaidi kuliko nchi zote hapa east africa maana umeme wetu utakuwa very chip na wauwakika na kuvutia wawekezaji kutoka pandezote za dunia kukimbilia tz kuwekeza badala ya nchi jirani zetu,kingine tz tutaachana na majiko ya mkaa na kutumia ya umeme hivyo bei ya gesi italazimika kushuka ili kukabili ushindani wa umeme wa,maji na hii ndiyo maana mafisadi wadau wa gesi wanajaribu kukwamisha huu mradi wa bwawa la nyerere usiku na mchana
 
Hahahaha, wakijujibu nitag
Hahaha Kenya ni Nairobi tu, ukitoka hapo hakuna Kenya, maeneo ya wa Kikuyu na Kalenjin pekee ndio yenye ahueni ya maisha in all levels, huko upper Kenya hawana kila kitu hata lami hawajawahi kuiona.
 
600 MW sio mchezo. Itawachukua miaka kumi kufika hapo.
Really..with the SGR underconstruction

1.kumbuka most mines where not connceted to the 0national.grid..currently they are being connceted some

2..Kumbuka most industriers in Dar and Pwani use Gas from Mtwara gas pipeline so they dont consume grid electricity..mfano Twiga Cement uses 40MW ..

TBL
Serengeti Brew
over 42 industries..meaning tuki assjme atleast 10mw average ni 420 mw
View attachment 2030039
 
South Africa wanahangika na mgao wa umeme for 3 years now almost cause umeme hauwatoshelezi na mitambo yao imezeeka
 
Yaani minings zote za Tanzania zikiunganishwa na grid hata umeme uliopo saivi utapelea, tuna off grid megawatts zaidi ya 1000
 

Mzee Sisi hatujengi Bwawa La Mwalimu Nyerere kwa Kutegemea tuuze umeme nje ya nchi
Hio itakuwa kama Surplus just incase tukiwa na Excess kwenye Grid, Kiufupi ni kuwa tuna Off Grid Potential Customers wengi tu ikiwemo Minining sites
 
[emoji3] Ila wakenya mnakitunza sana kiswahili,, hili neno ,,kisugudi" nimelitumia zaidi ya miaka kumi huko nyuma.
Mw 2000,,, Hongereni, hope zitawasaidia kulipa madeni ya mchina.
 
Sisi pia tunazalisha umeme mwingi kushinda matumizi yetu. Mumefanya ujinga kujenga powerplant kubwa kwa ajili ya kuuzia majirani umeme. majirani wenyewe wanajitosheleza kwa uzalishaji wa umeme. Mtabaki na umeme wenu.


Umeme ni nyanya zisipopata mteja zinaoza??!!, au tuseme umeme wenu mnautumia wote na hakuna ziada??--- hiyo ziada inaoza kama haiozi mnaipeleka wapi??, isitoshe Tz ni kubwa kwa eneo na population kuliko nchi yoyote ya EA hivyo umeme huo utapata matumizi kwenye Investment kubwa hapo baadaye kumbuka umeme wenyewe ni HEP, kifupi ni kwamba umeme huo ni cheap na hivyo utavutia wawekezaji kujenga hata heavy industries.

"We Tz think for 20 yrs to come unlike you Kenyans think for 2yrs to come".
 
Wewe hujui lolote kuhusu jambo hili, wacha nikupe darasa. Hivi unajua Tanzania yenyewe bado haijaunga nyaya zake na Southern Africa powerpool? Sasa sijui mtawauzia nchi za SADC umeme vipi ikiwa hata hamjaunga nyaya zenu za umeme na zao?
 
Tunanunua chini ya 30 MW kutoka Uganda. Hio 30 MW tunaonunua kutoka kwao ni kidogo sana ukizingatia kwamba kwa sasa Kenya inaconsume 2,036 MW. Nyie tutanunua kutoka kwenu 20 MW pekee usijali tunawapenda majirani zetu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Wewe hujui lolote kuhusu jambo hili, wacha nikupe darasa. Hivi unajua Tanzania yenyewe bado haijaunga nyaya zake na Southern Africa powerpool? Sasa sijui mtawauzia nchi za SADC umeme vipi ikiwa hata hamjaunga nyaya zenu za umeme na zao?
Sasa mimi na wewe yupi hajui lolote?


 
Eti uwekeze mabilioni ya fedha kwenye mradi mkubwa wa umeme, kisa majirani watanunua. Upuuzi mtupu ambao sijawahi kuona maishani. Uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana. Subiri uone umeme huo ukikaa idle bila matumizi.
 
Tunanunua chini ya 30 MW kutoka Uganda. Hio 30 MW tunaonunua kutoka kwao ni kidogo sana ukizingatia kwamba kwa sasa Kenya inaconsume 2,036 MW. Nyie tutanunua kutoka kwenu 20 MW pekee usijali tunawapenda majirani zetu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Wewe unaongeaga kimihemko zaidi bila factual basis, ulisema hamnunui umeme sababu mnao wa ziada wakati mnanunua umeme mpaka Uganda, Ethiopia wanawauzia Megawatts ngapi wao?
 
Eti uwekeze mabilioni ya fedha kwenye mradi mkubwa wa umeme, kisa majirani watanunua. Upuuzi mtupu ambao sijawahi kuona maishani. Uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana. Subiri uone umeme huo ukikaa idle bila matumizi.
Ninyi hata kujadili umeme ni kujidhalilisha tu ni sawa na mtu anaejadili riadha wakati hana miguu, jikiteni kwenye transmission lines sababu hata Burundi wamewapita
 
Bro jifunze kwanza kuhusu Kenya ili uje kupost. Hayo maeneo ambayo hayana grid network pia yana watu wachache mno. Watu wengi Kenya wanaishi kusini na magharibi mwa Kenya kwa sababu huko ndiko kuna mito, mvua, ardhi yenye rutuba na chakula kwa wingi. Hata jua sio kali sana. 90% ya Wakenya wanaishi kusini, magharibi na kati mwa Kenya. 10% ya Wakenya ndio wanaoishi sehemu kame za Kaskazini na kaskazini mashariki. Narudia tena, asilimia kidogo sana ya Wakenya wanaishi katika eneo hizo kame za jangwa.
 
Tuachane na habari za makaratasi tizama hiyo picha kenya yote ni giza isipokuwa mombasa na nairobi pia tanzania tunatumia gasi mkumbuke hiyo tunapikia gesi na viwanda vinatumia gesi vingi tu tuView attachment 2029983
View attachment 2029986
Sasa kama mnajua kwamba viwanda vyenu vinatumia gesi badala ya umeme mbona sasa mumeamua kufanya ujinga wa kujenga powerplant ya kuzalisha 2,300 MW ya umeme? Au mtalazimisha viwanda vyenu viwache kutumia gesi virudi tena kutumia umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…