Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

Hahaha wakenya zaidi ya million 30 wanaishi kwenye majangwa na wengine wanapakimbia sababu ni kama jehanam, pamesahaulika hakuna miundombinu yoyote ya binadamu kuishi

Tanzania pia ina maeneo mengi tena yenye rutuba haswa yaliyo less populated lakini hukosi huduma zilizoboreshwa za kijamii huko eti kisa kuna wananchi wachache

 
Sasa kama mnajua kwamba viwanda vyenu vinatumia gesi badala ya umeme mbona sasa mumeamua kufanya ujinga wa kujenga powerplant ya kuzalisha 2,300 MW ya umeme? Au mtalazimisha viwanda vyenu viwache kutumia gesi virudi tena kutumia umeme?
Mzee una mawazo mafupi sana, 2010 tulikua tunatumia megawatts 600 leo ni megawatts 1700 na off grid megawatts 1000+ vipi kuhusu 2030?
 
Bro, point number 2 is completely useless. So what if your industries consume 420 MW of power through gas? In fact since gas is a big competitor with electricity in TZ, that is exactly why you should not have built such a big white elephant. Industries are the biggest consumers of electricity, so if your biggest consumers of electricity are now using gas then you are in trouble my friend. You are in trouble. Hizo industries ndizo zilitakiwa zitumie umeme, sasa kama zinatumia gesi basi mpo mashakani.
 
South Africa wanahangika na mgao wa umeme for 3 years now almost cause umeme hauwatoshelezi na mitambo yao imezeeka
Nyie hamjajenga power line inayoweza kusafirisha angalau 1,000 MW kuelekea SA. In fact TZ is still not connected to the SADC powerpool. So you are engaging in hypothesis, theories and conjectures when facts on the ground suggest that TZ is unprepared to sell power to SA because the connecting powerline is not there.
 
Kitu usichojua ni kwamba gas transmission is way expensive than electricity, unahitaji kuchimba kilometers ngapi za Bomba la gas countrywide kumeet markets za scattered industries all over?

Advantage ya viwanda vya Tanzania vingi vikubwa vipo centralized kwenye mikoa ya Pwani na Dar ambapo Bomba la gas linapita kuelekea Kinyerezi kwenye gas to electricity conversion kutoka kusini, tumia akili bro

Halafu gas ni multifunctional commodity, sio umeme tu bado tunaihitaji kwenye mambo mengi na inaisha, then ni expensive ukilinganisha na umeme wa maji wa Rufiji ambao ni one massive idle potential
 
Yaani minings zote za Tanzania zikiunganishwa na grid hata umeme uliopo saivi utapelea, tuna off grid megawatts zaidi ya 1000
Ningekuelewa ikiwa mngekuwa sasa hivi mumeanza kujenga nyaya za umeme kuunganisha hizo off-grid mining sites. Ila bado hamjaanza kufanya hivyo. Hapa mpo kisiasa tu ila facts on the ground inaonyesha kwamba hamjaanza kujenga nyaya za umeme ili kuunganisha hizo mining sites. Usifikiri kujenga kilomita moja ya high voltage powerline ni pesa kidogo. Halafu baadhi ya hizo mining sites zipo mbali na grid so itawagharimu pesa nyingi kuziunga na grid. Halafu sidhani kama hizo mining sites zinaconsume 1,000 MW. Hio naona ni guesswork yako tu.
 
Mzee Sisi hatujengi Bwawa La Mwalimu Nyerere kwa Kutegemea tuuze umeme nje ya nchi
Hio itakuwa kama Surplus just incase tukiwa na Excess kwenye Grid, Kiufupi ni kuwa tuna Off Grid Potential Customers wengi tu ikiwemo Minining sites
Hizo mining sites bado hazijaungwa na hakuna mpango wowote wa kuziunga na grid. Serikali yenu haina mpango huo wa kuunga hizo mining sites na grid.
 
Haahaha
cc joto la jiwe
 
Sasa mimi na wewe yupi hajui lolote?


Asante kwa kuprove my point. Bado hamjaunga nyaya zenu to SADC powerpool. Sasa hivi ndio mumeanza kujenga. Ujenzi wa high voltage inter-country powerline kama hii itachukua miaka mitatu au zaidi. Tegemea mradi huu kukamilika mwisho wa 2023 au mwanzo wa 2024.
 
Wewe unaongeaga kimihemko zaidi bila factual basis, ulisema hamnunui umeme sababu mnao wa ziada wakati mnanunua umeme mpaka Uganda, Ethiopia wanawauzia Megawatts ngapi wao?
Ethiopia wanatuuzia megawatt tano. Halafu nilisema sisi tuna surplus kwa sababu sisi pia tunawauzia Uganda umeme ama hukua unajua hilo? Sisi tuna surplus kwa sababu tunazalisha 2,800 MW na tunaconsume 2,036. Ukitoa power loss ya 400 MW inayopotea kwenye usafirishaji wa umeme, tunabakia na surplus ya takriban 400 MW.
 
Ninyi hata kujadili umeme ni kujidhalilisha tu ni sawa na mtu anaejadili riadha wakati hana miguu, jikiteni kwenye transmission lines sababu hata Burundi wamewapita
Hivi rafiki yangu unajua Kenya ina kilomita nyingi za transmission lines kuwashinda? 😂😂🤣
 
Magufuli aliisimamia kikamilifu kazi za kuunganisha migodi na grid

Wewe kwa akili yako unaona haiwezekani lakini Magufuli aliona inawezekana na harakati alishazianza


 
Ulichopost hakionyeshi kwamba Wakenya 30 million wanaishi kaskazini na kaskazini mashariki ambako hakuna grid. Turkana ambayo ni jimbo kubwa kabisa Kenya lina watu milioni moja pekee. Nairobi ambayo ndio county ndogo kabisa Kenya lina watu milioni tano.
 
Unaongea kwa mihemko, wewe akili yako ni kupinga na sio kujadili kama mtu uliepevuka, umetumia vigezo gani kusema hivyo? Una workplan yao mezani?
 
Jifurahishe
 
Sasa viwanda vyenu vikiamua kuwacha kutumia gesi na kurudi kutumia umeme cheap wa JNHPP huoni hio ni kupoteza pesa maana mlishatumia pesa nyingi kujenga mabomba ya kuunganisha viwanda vyenu na gesi?
 
Unaongea kwa mihemko, wewe akili yako ni kupinga na sio kujadili kama mtu uliepevuka, umetumia vigezo gani kusema hivyo? Una workplan yao mezani?
Mimi ninatumia average project timeline ya mradi mkubwa kama huu. Kenya tumejenga miradi mingi kama hizi na zimechukua average of 3 years. Yaani 620 km high voltage powerline unafikiri unaweza kuujengwa haraka haraka kama ujenzi wa choo? Huu ni mradi mkubwa na lazima uchukuwe muda. Hakuna mihemko hapa, ni common sense tu.
 
Sasa viwanda vyenu vikiamua kuwacha kutumia gesi na kurudi kutumia umeme cheap wa JNHPP huoni hio ni kupoteza pesa maana mlishatumia pesa nyingi kujenga mabomba ya kuunganisha viwanda vyenu na gesi?
Bro hakutakuja kuwa na umeme utakua idle Tanzania trust me

Kuna hii massive Kabanga/Tembo Nickel project kuna Bomba la mafuta ya mganda litakalohitaji hitting ili kuyeyusha osmosis yote hii ni matumizi makubwa sana ya umeme

Nimekuambia walioamua Nyerere Dam iwepo huwazidi akili bro

 
620km upo 90% tayari, saivi ni kuunganisha tu na upande wa Zambia sababu yote ilikua inaenda simultaneously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…