Wakati Ruto kule Kenya Vijana wakimkosesha usingizi, Tanzania ni tofauti, Wazee ndio wanao mkosesha Rais usingizi. Vijana wako busy na Simba na Yanga

Wakati Ruto kule Kenya Vijana wakimkosesha usingizi, Tanzania ni tofauti, Wazee ndio wanao mkosesha Rais usingizi. Vijana wako busy na Simba na Yanga

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Tanzania huenda ndio nchi Pekee ambayo Wazee ndio wanapigania Taifa/ Wazee ndio wana uchunhu na nchi, wazee ndio wanao umia kuona ncji inaelekea kusiko, Huku vijana wakiwa nyuma ya keybord au wakiwa busy na Yanga na Simba na wengine wakiwa wameathirika na uchwa Pro.

Kenya vijana ndio wanao hoji, ndio wana uchungu na nchi yao ya Kenya, ndio wanajua feature inawahusu wao, ndio wanao msumbua Ruto, vijana ndio Wanao mkosesha ruto Usingizi, the same na kule Uganda au kule Msumbiji now.

Tanzania ni wazeee wa miaka 80+ ndio wanao mkosesha Raisi usingizi, hawa wazee ndio wanao pigania Taifa, ndio wana uchungu na nchi. Hii huenda ni Taofauti na nchi zote ulimwenguni ambako watawala huhofia sana Vijana.

Vijana either wameathirika na uchawa au wako busy wana bett au wana uchungu na Yanga na Simba, wao hata nchi likiuzwa ni poa ilimuradi Yanga na Simba ziko Salama.

Hawa hawana habari na feature zao, hilo sio swala la msingi kwao wao kikubwa kabisa ni feature ya Yanga na Simba ieleweke basi.

Wakati Watawala kote Duniani wakihofui population ya Vijana kwa Tanzamia ni tofauti watawala wana wahofia wazee.

Hii ndio Bongo lala.
 
Hata wazee niwale walio kosa kulamba asari, ila wa Tanzania wengi ni maiti zinazo tembea......
 
Kiasi fulani hao wazee wengi ndio hawakuwajibika kipindi chao pia, acha wafanye malipizi tu ya kutokowajibika kwao sasa hivi.
 
VIjana 20 - 30 wapo busy kusaka ajira ambazo hazipo, wengine kubet na kutafuta mishangazi wajane walelewe. Muda wa siasa hawana.

35 - 45 hawa wamepanga nyumba, wana vi ajira uchwara wana uhakika wa kula, vigari vya kutembelea wanajifanya siasa haiwahusu. ati wametoboa.

50 - 70 Familly man's; hawa wanaogopa kufa sababu wanaona muda wao ushaisha kulipigania taifa lao.

75 - 85 hawa wazee ndiyo wanalipigania Taifa lao.
 
Lissu bado ni kijana, anapigania taifa lake. Tuseme asilimia kubwa ya vijana ila sio wote.
 
Hapa kwenu serikali ilijenga mfumo wa kuwakwamisha kupata elimu na mkajitambua.

CCM ilijua mapema sana ndiyo maana wakaandaa mazingira na kujenga viwanja vya mpira kila mkoa.

Hapa mlipo ni kwa sababu ya msingi waliouweka na haya ndiyo matokeo.

Siyo leo wala kesho kuja kufunguka kuwa kama Kenya, hapa no baada ya kizazi hiki hapa kuondoka chote ndipo wajao watafanya new expection in their brain!.
 
Vijana wa Tanzania hawana interest na mambo ya siasa za nchi yao. wao ni simba na yanga, kubet na pool. Hao waliopo UVCCM, BAVICHA, NGOME YA ACT VIJANA, UV CUF hawajui kitu zaidi ya uchawa tu ndio wanachokifanya. Habari za mustakabali na hatma ya taifa lao ni msamiati usioleweka kwao, ni hopeless, wazee ndio wa wanaotia presha serikali inapofanya mambo ya hovyohovyo katika utawala wake
 
Shida ni elimu na mifumo ya kenya ni tofauti na Tanzania! Nimekaa kenya kama mifumo iliyopo Tanzani ingekuwa kenya hao hao vijana wangekuwa kama wa Tanzania!

Note: serikali ya Tanzania inawajibika sana tena kwa wananchi tofauti na nchi ya kenya fuatilia kwenye shuguli mbali mbali za kijamii ndo utofauti
 
Hata wazee niwale walio kosa kulamba asari, ila wa Tanzania wengi ni maiti zinazo tembea......
Actualy hakuna maiti inayotembea. Wazee wanaokosoa hawahitaji tena asali, walishalamba sana nyakati zao. Kwa sasa wanapumnzika na kutoka maoni wanapoona mambo hayaendi sawa
 
Back
Top Bottom