BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Tanzania huenda ndio nchi Pekee ambayo Wazee ndio wanapigania Taifa/ Wazee ndio wana uchunhu na nchi, wazee ndio wanao umia kuona ncji inaelekea kusiko, Huku vijana wakiwa nyuma ya keybord au wakiwa busy na Yanga na Simba na wengine wakiwa wameathirika na uchwa Pro.
Kenya vijana ndio wanao hoji, ndio wana uchungu na nchi yao ya Kenya, ndio wanajua feature inawahusu wao, ndio wanao msumbua Ruto, vijana ndio Wanao mkosesha ruto Usingizi, the same na kule Uganda au kule Msumbiji now.
Tanzania ni wazeee wa miaka 80+ ndio wanao mkosesha Raisi usingizi, hawa wazee ndio wanao pigania Taifa, ndio wana uchungu na nchi. Hii huenda ni Taofauti na nchi zote ulimwenguni ambako watawala huhofia sana Vijana.
Vijana either wameathirika na uchawa au wako busy wana bett au wana uchungu na Yanga na Simba, wao hata nchi likiuzwa ni poa ilimuradi Yanga na Simba ziko Salama.
Hawa hawana habari na feature zao, hilo sio swala la msingi kwao wao kikubwa kabisa ni feature ya Yanga na Simba ieleweke basi.
Wakati Watawala kote Duniani wakihofui population ya Vijana kwa Tanzamia ni tofauti watawala wana wahofia wazee.
Hii ndio Bongo lala.