Pumzika Kwa amani father A.
Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita.
Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee.
Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa mbinu za counter attack wala sikujua mbeleni itakuaje.
Uliposema lazima ukikosa bunduki ndani usilale bila silaha ya kujihami,
Uliposema unapotembea kariri watu na ukiona unafuatiliwa na mtu chukua tahadhari sikua najua kabisa.
Ulipofundisha kusoma ishara za maongezi mbalimbali sikuelewa leo ndio nimejua maana yake,
Waseminary popote mlipo hasa wale wahenga nimewakumbusha enzi hizo,