Wakati semenary tunafundishwa ukakamavu na mafunzo ya karate sikuelewa, kumbe ilikua kujiandaa kujihami hata na watekaji!

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Pumzika Kwa amani father A.
Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita.

Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee.

Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa mbinu za counter attack wala sikujua mbeleni itakuaje.

Uliposema lazima ukikosa bunduki ndani usilale bila silaha ya kujihami,
Uliposema unapotembea kariri watu na ukiona unafuatiliwa na mtu chukua tahadhari sikua najua kabisa.

Ulipofundisha kusoma ishara za maongezi mbalimbali sikuelewa leo ndio nimejua maana yake,
Waseminary popote mlipo hasa wale wahenga nimewakumbusha enzi hizo,
 
Pumzika Kwa amani father A.
Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita,
Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee,
Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa mbinu za counter attack wala sikujua mbeleni itakuaje,
Uliposema lazima ukikosa bunduki ndani usilale bila silaha ya kujihami,
Uliposema unapotembea kariri watu na ukiona unafuatiliwa na mtu chukua tahadhari sikua najua kabisa,
Ulipofundisha kusoma ishara za maongezi mbalimbali sikuelewa leo ndio nimejua maana yake,
Waseminary popote mlipo hasa wale wahenga nimewakumbusha enzi hizo,

Seminary gani inafundisha hivyo?
 
Pumzika Kwa amani father A.
Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita.

Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee.

Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa mbinu za counter attack wala sikujua mbeleni itakuaje.

Uliposema lazima ukikosa bunduki ndani usilale bila silaha ya kujihami,
Uliposema unapotembea kariri watu na ukiona unafuatiliwa na mtu chukua tahadhari sikua najua kabisa.

Ulipofundisha kusoma ishara za maongezi mbalimbali sikuelewa leo ndio nimejua maana yake,
Waseminary popote mlipo hasa wale wahenga nimewakumbusha enzi hizo,
Don bosco mafinga seminary nini??
 
Mimi ni ex-seminarian lakini sikuwahi kufundishwa hiyo kitu. Nadhani huo ulikuwa utaratibu binafsi tu wa huyo father na sio utaratibu wa kila seminary. Japo kweli seminary kuna mambo unajifunza huwezi kuyapata kwenye hizi shule nyingine.

Hongera mkuu.
 
Pumzika Kwa amani father A.
Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita.

Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee.

Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa mbinu za counter attack wala sikujua mbeleni itakuaje.

Uliposema lazima ukikosa bunduki ndani usilale bila silaha ya kujihami,
Uliposema unapotembea kariri watu na ukiona unafuatiliwa na mtu chukua tahadhari sikua najua kabisa.

Ulipofundisha kusoma ishara za maongezi mbalimbali sikuelewa leo ndio nimejua maana yake,
Waseminary popote mlipo hasa wale wahenga nimewakumbusha enzi hizo,
Imagine ingekuwa shule ya kiislamu wanafundishwa hayo yote tayari wangeshakuwa labeled "terrorists" aaaaagh ... the hypocrisy.
 
Huyo ni muongo. Ndio maana kashindwa ata kuitaja. Seminary hakuna kitu kama hicho. Ata anavoandika tu unajua ni mnafik. Shule za kiislamu sawa maana wanawaza jihad na kuteka dunia.
 
Mtoto wa kiume utakiwi kuwa boya boya. Imagine mtoto wa kiume kabisa unaporwa simu na teja alafu unaita mwizi kutafuta msaada kwa wananchi Mkiambiwa mjifunze ngumi ,karate mnaona ugaidi
 
Back
Top Bottom