Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
20220925_185845.jpg
 
Utulie hivyo hivyo mleta mada unyolewe na kipande cha chupa ya kioo iliyovunjia.

Kama unapigwa mchache endelea kusubiri upigwe mwingi. Hatutaki ukigeugeu
 
Hapo naiona tofauti kati ya akili inayofikiria kwa kuwaza mbele, na ile inayofikiria kwa kurudi nyuma.
Kuna nchi inaongozwa na physiology ya tumbo wakati nyingine inaongozwa na physiology ya ubongo.
 
Kunatofauti kubwa sana kati ya uongozi uliochaguliwa kwa demokrasia na utawala wa kurithi ndiyo maana wakenya mambo mazuri yanazidi kujionyesha
 
Hata hapa BANCABC walikuwa wanakuongezea 1% usipotoa hela kwa mwezi mmoja. sijui kwa sasa.
 
Hapo naiona tofauti kati ya akili inayofikiria kwa kuwaza mbele, na ile inayofikiria kwa kurudi nyuma.
Wanajua umuhimu wa fedha kuwa benki na si katika mikono ya watu elimu finyu ya kina Phd feki hata hawajui umuhimu huu matokeo fedha zinarudi katika mikono ya watu kwa kasi ya ajabu shame
 
NAWAZA CCM KINDA KINDA NA VIBARAKA WA SERIKALI WAKIPITIA HAPA SIJUI WATAJISIKIAJE!!!
 
Viongozi wa Afrika wanaanza na mbwembwe kila siku. Huyu na mwenzake Uhuru waliahidi kila mwanafunzi atapewa laptop!

Ahadi ni nyingi, uliza hiyo pesa itatoka wapi? Wakati sasa hivi serikali ya Kenya inatumia 45% ya mapato yake kulipa madeni tu.
 
Back
Top Bottom