Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

Sasa Mkuu unailinganishaje Tanzania nchi masikini na China Superpower?
 
Sasa Mkuu unailinganishaje Tanzania nchi masikini na China Superpower?
China haikuzaliwa ikiwa Superpower na wala hawajawahi kujiita Superpower.

Iliwahi kuwa nchi ya njaa, umasikini na watu kuishi vijijini kuliko hata baadhi ya nchi za Afrika. Leo imefika hapo kwa sababu walifikiria solutions kubwa, si excuses ndogo.

Ukiona taifa lina mifereji, reli, viwanda na miji mikubwa halafu unasema sisi ni maskini tusijilinganishe, hiyo ndiyo mentality inayotufanya tubaki maskini
.

Tofauti ni wao waliwaza namna ya kujenga mifumo ya maendeleo, sisi bado tunabishana kwanini tusijilinganishe na waliopiga hatua.
 
Viongozi wote wa ccm anatakiwa aje Rais katiri awafunge wote! Tena ikiwezekana awanyonge kabisa!
 
Viongozi wote wa ccm anatakiwa aje Rais katiri awafunge wote! Tena ikiwezekana awanyonge kabisa!
Umesema vyema, mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi China wamehukumiwa kifungo cha maisha wakisubiri kunyongwa kwa rushwa
 
Back
Top Bottom