Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mayeleeeeeeeeeeeeeeeeee 🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ushindi mwenyewe ndio huyu shallow kabisa?Japo nimechelewa kwa siku moja, happy birthday kwa huu uzi.... Pia hongera kwa mshindi wa jukwaa la michezo 2022 bila shaka palipo na mapungufu utayafanyia kazi na yaliyo mazuri yataboreshwa zaidi.
Kumbukumbu mujarab kabisa huu uzi udumu. Kumbe kulikuwa na uzi kulwa na doto wa Mayele vs Kibu DUmetumia vigezo gani ? Pale Yanga mastraiker mlionao ni wakawaida sana (Makambo & Mayele), ndomaana hâta magoli mengi ya Yanga msimu huu yanafungwa na Viungo.
Hivi muda wa kifukua nyuzi za zamani huwa mnautoa wapi mkuu? Mtani, hebu tuelezane hapa😂.Kumbukumbu mujarab kabisa huu uzi udumu. Kumbe kulikuwa na uzi kulwa na doto wa Mayele vs Kibu D
Nina uhakika! Aisee hiki kiherehere kinawaponza sanaSasa Mayele anafanya nini uwanjani ? Nina uhakika mpaka ligi inaisha hautamuona hata kwenye mbio za wafungaji bora.
subiri usajili wa dirisha hili mtajamba checheKibu Denis
Mechi 7
Magoli 4
Fiston Mayele
Mechi 10
Magoli 3
Nawatakieni 'Upuuzi' mwema katika Kumsifu 'Kishabiki' Fiston Mayele huko katika Redio zenu ambazo GSM wanatoa 'Asante' kwa Watangazaji na Wachambuzi ambao Kutwa huwa wanaisifu ( wanaipamba ) tu Yanga SC hata kama kwa mara ya Pili jana imebebwa tena na Mwamuzi ( Referee ) kwa 'Kuzawadiwa' Penati.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE bado sijaona Magoli mazuri kama lile moja la Msimu uliopita lililofungwa na Beki Mohammed Hussein Tshabalala Mkoani kwa kupiga Muwa ( Shuti ) ambalo Kwanza liligonga Mwamba wa juu, ukagonga wa pembeni na kujaa Nyavuni.
Lingine ni la Juzi la Mshambuliaji Kibu Denis ambapo alipiga Muwa ( Shuti ) ambalo Kwanza lilijaa mno Mguuni, ukaenda vizuri na ukajaa ipasavyo Nyavuni. Na aliupiga akiwa mbali kidogo na ni Goli ambalo hata IMF au WB wanaweza Kukupa Mkopo wa Riba nafuu.
Nina Mdogo wangu huku Mtaani ( Uswahilini ) Kwetu anafunga mara kwa mara haya Magoli kama alilofunga jana Fiston Mayele halafu wala haringi ila anahangaika sana kutaka Kufunga Magoli kama hilo la Mohammed Hussein Tshabalala na Kibu Denis ila anashindwa kwa kusema kuwa ni Magoli magumu na yanahitaji Akili Kubwa sana Kuyafunga.
Mayele msimu ujao atakuwa sio Mayele Tena.
Sasa Mayele anafanya nini uwanjani ? Nina uhakika mpaka ligi inaisha hautamuona hata kwenye mbio za wafungaji bora.
Mhali gani kwa sasa, pamoja na jamaa yenu Popoma?Atakuwa mapele
Apokonywe ushindi huyuMhali gani kwa sasa, pamoja na jamaa yenu Popoma?
Ningejua Popoma aliwahi kuandika hivi nisingempigia kuraApokonywe ushindi huyu