Wakati tunaendelea na uchambuzi wa vita mashariki ya kati na mashariki ya mbali, tusisahau vita yetu ya ujinga na maradhi tangu 60s

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali

Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.

Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
 
sisi bado tunatekana hahaha
 
Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali

Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.

Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
Mimi nashindwa kuwapongeza maana ya kwao yamewashinda kutwa wako kwa jirani
 
Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali

Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.

Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
UMEDANGANYA VITA NI YA ADUI CCM TU
 
Askari 1 anaweza fukuza watu 1000, nchi kama hii usitegemee chochote, ndio maana tuko busy na mambo ya watu
 
Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali

Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.

Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
Hahahahaaa si tulishakubaliana imetushinda
 
Acha kuchanganya mambo.
Peleka jukwaa la umasikini na maradhi.
Huku ni kimataifa,
 
Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali

Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.

Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
Mzee Kuna majukwaa husika kwaajili ya uchambuzi kama huo usituletee longolongo zako kwenye jukwaa hili la kimataifa nenda jukwaa la Siasa au habari mchanganyiko utakutana na hizo habari
 
Kule hakuna wachambuzi wa kimataifa mkuu ndo maana nikawafuata huku
Ili wakimaliza wakumbuke vita tuliyo nayo nyumbani kwa miaka 60
 
Back
Top Bottom