Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
sisi bado tunatekana hahahaNaomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali
Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.
Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini๐ค๐ค๐๐
Taratibu wakikusikiaasisi bado tunatekana hahaha
Mimi nashindwa kuwapongeza maana ya kwao yamewashinda kutwa wako kwa jiraniNaomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali
Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.
Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini๐ค๐ค๐๐
UMEDANGANYA VITA NI YA ADUI CCM TUNaomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali
Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.
Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini๐ค๐ค๐๐
Hahahahaaa si tulishakubaliana imetushindaNaomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali
Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.
Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini๐ค๐ค๐๐
Mzee Kuna majukwaa husika kwaajili ya uchambuzi kama huo usituletee longolongo zako kwenye jukwaa hili la kimataifa nenda jukwaa la Siasa au habari mchanganyiko utakutana na hizo habariNaomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali
Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine.
Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini๐ค๐ค๐๐
Kule hakuna wachambuzi wa kimataifa mkuu ndo maana nikawafuata hukuMzee Kuna majukwaa husika kwaajili ya uchambuzi kama huo usituletee longolongo zako kwenye jukwaa hili la kimataifa nenda jukwaa la Siasa au habari mchanganyiko utakutana na hizo habari
Najua mkuu nawakumbusha tu mkuu mkimaliza mje kule nyumbani tuchambue vita yetu ya miaka 60 iliyopitaAcha kuchanganya mambo.
Peleka jukwaa la umasikini na maradhi.
Huku ni kimataifa,