njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na kumpitisha
Ikumbukwe kwa muda mfupi mshabiki huyo kindakikindaki aliyejiunga yanga miezi kadhaa iliyopita amekonga nyoyo za mashabiki wa yanga kwa kuipigania yanga kuliko hata wanaojifanya yanga wanaipenda tangu utotoni
Cv yake ni kubwa sana kawa katibu mwenezi wa ccm mkoa wa dar es salaam ambapo alimaliza muda wake na kuagwa kwa heshima,akapotea njia, akaleweshwa na kufanya kazi simba ambapo pia aliagana nao kwa heshima kabla ya ghafla kuamua kuipenda yanga mwaka 2021
Pia alishawahi kuanzisha perfume ya DE LA BOSS ambayo imesimama kwa muda kutokana na majungu ya TFF lakini yeye na investor shehe wa uarabuni aliyewekeza millions 83 walimalizana kistaarabu sababu USTAARABU NA MANARA NI KAMA KIUNO NA TAKO , VINARANDANA
Kazi yake ya kwanza pale yanga ilikuwa ni kuondoa KIRUSI kiitwacho NUGAZ na baaadaye KIRUSI kingine kiitwacho BUMBULI
Wanayanga wengi wanatambua mchango wake huyu jamaa jinsi anavyoipambania yanga kwa sasa kuchuja majina ili kuipatia afisa habari safi kabisa atakayekidhi vigezo angalau vya kumkaribia yeye ambapo kazi hii ilikuwa yake sema karia na genge lake wakaamua kumfungia
Hadi sasa hakuna kwenye tasnia ya habari mtu aliyesoma kama manara ,mwenye IQ kubwa, communication skills ya hali ya juu, ustaarabu na PR skills
Wana yanga kuweni na uvumilivu,Rais Hersi siyo mjinga kumkabidhi jukumu hilo ndugu manara shabiki ndakindaki la Yanga lililo tayari kupambana na yeyote atakayeikosoa yanga
*******************************************************************************************************
𝗡𝗜𝗠𝗘𝗙𝗨𝗡𝗚𝗜𝗪𝗔,𝗦𝗜𝗝𝗔𝗔𝗖𝗛𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔
"...Yanga Afrikaaaaaaa inajua nani Afisa Habari ajae, Acheni kupigiwa debe na Watu wahuni wahuni wanaoitukana kila kukicha Club hii.
Kumbukeni wakati wa uchaguzi wetu mwezi July, nini kilitokea?
Wasiwaingize Chaka hao Wanaharakati walioruzukiwa Njaa, Tunao utaratibu makhsuus ambao hautegemei debe la Mtu.
Ila pia msiahau mimi nimefungiwa kujihusisha na mpira na sijaacha kazi Yanga, usintusi bila sababu Coz utanikuta nimekaa pale, kisha sura yako itakuwaje sasa?
Nb: Limbulunga kapige debe kwenye Midawa ya Uasherati, umtakae akija Yanga njoo uninyonge, Bata Wahed.
#Bugati"
Haji Manara