Mkuu Manara ni msemaji namba moja tanzania anayeweza kujenga hoja na ushawishi nadhani degree zake mbili za china na south Africa zinampa backup kubwa sana
Pia mkuu Manara ni mtu muungwana tofauti na baadhi ya wachambuzi (wenye husda nae) wanavyomuongelea na ndio maana sehemu zote alizofanya kazi sio tu kumkumbuka bali wanamlilia arudi leo kesho
CCM mkoa wa Dar es salaam toka aondoke manara na Legacy aliyoiacha pale imekuwa ngumu kupata mtu wa kuvaa viatu vyake, Simba vilevile wanajuta kumpoteza Manara mafanikio yao yameshuka sana toka jamaa amue kuchana nao kistaarabu baada ya kupata ofa kubwa Jangwani ambao ampaka sasa amewapa ubingwa wa NBC premier league pamoja na kombe la FA huku Manara akiahidi watafanya vizuri zaidi kwenye michuano ya Caf (kufika nusu fainal au fainali) mwaka huu