SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Dawa yake ni kuzipotezea tuKuna mada nyingine zinaletwa humu jukwaani hata huelewi unatakiwa uchangie nini!! Maana zimekaa kimajungu majungu! Kimipasho mipasho! Kibin Kazumari vile!!
Na Manara atawafikisha Yanga fainali ya CAF CLMkuu Manara ni msemaji namba moja tanzania anayeweza kujenga hoja na ushawishi nadhani degree zake mbili za china na south Africa zinampa backup kubwa sana
Pia mkuu Manara ni mtu muungwana tofauti na baadhi ya wachambuzi (wenye husda nae) wanavyomuongelea na ndio maana sehemu zote alizofanya kazi sio tu kumkumbuka bali wanamlilia arudi leo kesho
CCM mkoa wa Dar es salaam toka aondoke manara na Legacy aliyoiacha pale imekuwa ngumu kupata mtu wa kuvaa viatu vyake, Simba vilevile wanajuta kumpoteza Manara mafanikio yao yameshuka sana toka jamaa amue kuchana nao kistaarabu baada ya kupata ofa kubwa Jangwani ambao ampaka sasa amewapa ubingwa wa NBC premier league pamoja na kombe la FA huku Manara akiahidi watafanya vizuri zaidi kwenye michuano ya Caf (kufika nusu fainal au fainali) mwaka huu
Dogo,uzi unamuhusu sope takadini kivunja undugu ,jikite kwenye mada plsNyuzi zako siku hizi zimekosa mashiko na wachangiaji sababu watu washakujua wewe ni mtu wa aina gani.
Kweli kabsa...asipojirekebisha ID yake itadharaulika kama mwenzake gentaNyuzi zako siku hizi zimekosa mashiko na wachangiaji sababu watu washakujua wewe ni mtu wa aina gani.
njaakalihatari analakujifunza kutoka kwa Popoma maana sasa hivi hapati wachangiaji kama zamani na bora Popoma siku akitulia anshusha nondo za maana haswa kwenye siasa na hoja mchanyanyiko.Kweli kabsa...asipojirekebisha ID yake itadharaulika kama mwenzake genta
Hahahahahahaha just hahahahanjaakalihatari analakujifunza kutoka kwa Popoma maana sasa hivi hapati wachangiaji kama zamani na bora Popoma siku akitulia anshusha nondo za maana haswa kwenye siasa na hoja mchanyanyiko.
Misambano abdul,vipi sope takadini kivunja undugu anaendeleaje?Ni ni taarabu ya Hadija kopa au Nasma Hamis?