Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

Hujui unaongea nini na pia hujui rais anaongea kitu gani ni bora uombe kuelewesha kuliko kuamka na uzi wa kukosoa bila ya kuwa n maarifa ya hicho ulichotaka kukiongea.

TRA walikuwa na mchezo wa kubambikia watu kodi za miaka ya nyuma. Kaka yangu mfanyabiashara ya utalii alichomekewa malimbikizo ya kodi za miaka ya nyuma ya shilingi milioni 250 wakati ushahidi wa risiti aliwaonyesha watu wa kodi ya mapato.

Akalazimika kulipa mara mbili, ule ulikuwa ni uporaji wa kimfumo, ambao marehemu JPM alikubaliana nao pengine kwa kutaka pesa za kumalizia miradi aliyoanzisha.

SSH amesema makusanyo ya kodi yasiwe ni yale ya miaka mitatu au minne nyuma, hao TRA walikuwa wanafanya nini wakati wote huo.?. SSH hataki kukusanya kodi ya dhuluma, hayo madeni feki ya miaka ya nyuma ndio dhuluma zenyewe hizo.
Please change this behavior of being hypocrite dude.
 
Ukiona Taifa kiti cha uraisi mnashindana alafu anaibuka mtu hukuwahi muona popote basi juwa sikubza Taifa hilo mbeleni nisiku ngumu kuliko zile linapita sasa. Kiti cha Rais sio sio issue ya gender Kiti cha Rais nikiti kinahitaji mtu kweli mwenye uwezo na akili namsomi wa vitabu. Angalia Marais wote wanao tikisa dunia na mataifa yanayo tikisa dunia Rais kweli anakuwa Rais anajuwa vitu ndani na nje. Angalia Taifa nalioenda as role mode Israel hawa jamaa wanaisumbuwa dunia lakina hawaweki watu wakawaida pale juu. Muangalie huyu waziri mkuu wa sasa Nathan Benet hiyo brain ni hatari kwenye maswala ya ulinzi wa kimtandao na udukuzi yani hiyo brain kaa mbali nayo...
Angalia mifumo ya idara za hili taifa utakaa chini yani ni majitu yenye akili... Bakini kuwekena mtoto washangazi, mke na mashemeji kwenye mifumo ipo siku maji mtaita mma... Maana tuna leader ambao sio visionaries bali wana waza uchaguzi. Such leader they will kill silence this nation. Nakama watu hawajuwi kuwa hakuna kitu kibaya kama kuliuwa taifa kimfumo wakisiasa yani mtajikuta siku hata vita hamuwez pigana maana huna watu unawajomba mashemeji na wakwe kwenye system mataifa imara Rais hateuwi watu wakumpendezesha anateuwa watu wenye uzalendo hawajuwi kutaja muheshimiwa Rais mtukufu what what wanajuwa muheshimiwa Taifa langu yani wapo kwa ajili ya Taifa naukiwazinguwa wanakushusha. Sisi tuna idara yenyenguvu kuliko zote Rais. Haya. End
Israel hiyo nafasi ya Waziri Mkuu umeenda mbali sana. Hakuna mtu anaweza kuwa hata mkuu wa shirika akiwa incompetent, wale wanapata shambulio kwenye mfumo wowote wa maisha yao. Mwaka juzi walipata shambulio kwenye mifumo ya water treatment maana wanategemea maji ya bahari kwa domestic use, kuna cyber attack ilifanyika kwenye systems za kufanya regulation ya kemikali za kutibu maji na hizo systems zingeweka kiwango tofauti na kuua watu. Ila wahusika waligundua kabla hata maji hayajasambaa.

Hata huyo Naftali Bennett alishinda baada ya kufanya uchaguzi mara mbili ila mshindi hapatikani. Kwahiyo chama cha Bennett na chama cha Yair Lapid wakakubali kwamba Bennett aanze miaka miwili akiwa Waziri Mkuu, kisha miaka miwili mingine Lapid awe Waziri Mkuu na muhura wa miaka minne utakuwa umekamilika. Lapid alikuwa na seats nyingi sana kuliko Bennett ila aliamua kufanya hivyo ili kuleta utengamano wa kitaifa. Bennett mwenyewe alipata kura 60 dhidi ya 59 na mpigakura mmoja tu kati ya 120 ndio alijitoa, Bunge la Israel wote vichwa wale
 
Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa.

Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na punje ya haradani kuhusu masuala ya kodi ama hana kabisa.

Leo kampuni kubwa ya Mcdonald, imelipishwa zaidi Tsh Trilioni 2.5 za Kitanzania huko Ufaransa baada ya kugundulika imekua ikikwepa kulipa kodi kwa miaka 14 iliyopita. Mcdonald walikua wanachakachua hesabu na kuonyesha faida kidogo ili kukwepa kodi kwa miaka yote hiyo.

Sasa unajiuliza, iwapo Ufaransa wenye mifumo iliyoendelea bado makampuni yanatumia ujanja kukwepa kulipa kodi ila yakigundulika yanapelekwa mahakamani ana yanakubali kulipa bila kupelekwa mahakamani, kwa Tanzania watu wanakwepa kulipa kodi kisha wanaenda kuomba kwa rais wasilipe na rais anasema wasilipe.

Taifa ambalo haliko thabiti kwenye kukusanya kodi na mfumo wa kodi inaingiliwa na wanasiasa haliwezi kwenda popote.

Hii ndio matokeo yake tunayoyaona sasa, Rais wetu kwa kua hataki watu walipe kodi basi mbadala wake ni mikopo tu, kukopa tu. Tumeona kwenye bajeti yeye anawaza kukopa tuu.

Ndugai alisema ipo siku hii nchi itapigwa mnada na huo ndio ukweli.

Tofautisha kesi ya Kodi na kesi za kubambikia Ili kukomoa
 
Do not fool people.
Naongea kwa uzoefu wa biashara alizofanya kaka yangu wa tumbo moja huko Arusha. alibambikiwa bill ya milioni 250, ikatuumiza katika kumsaidia kuilipa.

TRA imefanya mambo ya kijinga sana wakati wa utawala wa JPM, lakini siku zote dhuluma haijengi chochote.
 
Nchi inaongozwa na Mapaka😁😁😁
 
Hata ushahidi wa malipo ukiwekwa mezani bado statute of limitations inakuwa na nguvu?. Dhuluma ni mbaya sana.

Zakayo mkusanya ushuru alitubu mbele ya Yesu, ufike wakati na nyinyi mjiulize kuhusu wizi na dhuluma mnazowafanyia raia wasio na mtetezi.

Hizi ni issues mbili tofauti. Dispute ya TRA na taxpayer siyo lazima ihusishe kodi ya miaka ya nyuma.

Kinachozungumziwa hapa ni authority ambayo TRA wanayo kisheria ya kufanya ukaguzi wa tax returns za taxpayer za miaka ya nyuma. Hii ni sheria, sio utashi wa mtu fulani.

It’s practically impossible kwa TRA kuhakikisha kwamba tax returns zote zimekaguliwa ndani ya mwaka mmoja. Hawana human and financial resources za kuwezesha hilo kufanyika.
 
Israel hiyo nafasi ya Waziri Mkuu umeenda mbali sana. Hakuna mtu anaweza kuwa hata mkuu wa shirika akiwa incompetent, wale wanapata shambulio kwenye mfumo wowote wa maisha yao. Mwaka juzi walipata shambulio kwenye mifumo ya water treatment maana wanategemea maji ya bahari kwa domestic use, kuna cyber attack ilifanyika kwenye systems za kufanya regulation ya kemikali za kutibu maji na hizo systems zingeweka kiwango tofauti na kuua watu. Ila wahusika waligundua kabla hata maji hayajasambaa.

Hata huyo Naftali Bennett alishinda baada ya kufanya uchaguzi mara mbili ila mshindi hapatikani. Kwahiyo chama cha Bennett na chama cha Yair Lapid wakakubali kwamba Bennett aanze miaka miwili akiwa Waziri Mkuu, kisha miaka miwili mingine Lapid awe Waziri Mkuu na muhura wa miaka minne utakuwa umekamilika. Lapid alikuwa na seats nyingi sana kuliko Bennett ila aliamua kufanya hivyo ili kuleta utengamano wa kitaifa. Bennett mwenyewe alipata kura 60 dhidi ya 59 na mpigakura mmoja tu kati ya 120 ndio alijitoa, Bunge la Israel wote vichwa wale
Jamaa demokrasia yao iko vizuri sana, kwa Africa ni ngumu kugawana madaraka kwa njia hiyo,
Mfano Zanzibar nchi ndogo, lkn Ina Rais na Makamu Rais wawili, na wanaita serikali ya umoja wa kitaifa, makamu wa pili kutoka ccm ndie anaefuatia kuwa na nguvu ya madaraka,
Makamu wa kwanza kutoka ACT yeye kazi yake kutembea na mkasi na kusoma magazeti ofsini,Hata ikitokea Rais hayupo hawezi kuchukua nafasi yake,
 
Hata ushahidi wa malipo ukiwekwa mezani bado statute of limitations inakuwa na nguvu?. Dhuluma ni mbaya sana.

Zakayo mkusanya ushuru alitubu mbele ya Yesu, ufike wakati na nyinyi mjiulize kuhusu wizi na dhuluma mnazowafanyia raia wasio na mtetezi.
Magufuli ndiye muasisi wa dhuluma hii
 
Hujui unaongea nini na pia hujui rais anaongea kitu gani ni bora uombe kuelewesha kuliko kuamka na uzi wa kukosoa bila ya kuwa n maarifa ya hicho ulichotaka kukiongea.

TRA walikuwa na mchezo wa kubambikia watu kodi za miaka ya nyuma. Kaka yangu mfanyabiashara ya utalii alichomekewa malimbikizo ya kodi za miaka ya nyuma ya shilingi milioni 250 wakati ushahidi wa risiti aliwaonyesha watu wa kodi ya mapato.

Akalazimika kulipa mara mbili, ule ulikuwa ni uporaji wa kimfumo, ambao marehemu JPM alikubaliana nao pengine kwa kutaka pesa za kumalizia miradi aliyoanzisha.

SSH amesema makusanyo ya kodi yasiwe ni yale ya miaka mitatu au minne nyuma, hao TRA walikuwa wanafanya nini wakati wote huo.?. SSH hataki kukusanya kodi ya dhuluma, hayo madeni feki ya miaka ya nyuma ndio dhuluma zenyewe hizo.
Siku hizi umehama Sukuma gang!? Ila kabila halihamwi.
 
Wao wanachojua ni copy and paste ya sheria za mabeberu bila ya kuelewa mantiki zake.

Unaweza msamehe bi tozo kwa kuropoka ila unabaki na maswali mengi sana ya quality ya washauri wake wa biashara na uchumi.

Kwa mtu mwenye uelewa wa financial accounting na statement inavyotengenezwa, anatambua kuna mbinu luluki za kupika vitabu kwa sababu mbali iwe kukwepa kodi, kukuza share prices sokoni, kujilipa bonuses etc; mbinu ambazo ata huyo external auditor awezi ziona (kumbuka auditors ni qualified accountants pia huko kwao sijui kwetu).

Ni hivi wazungu walishakubali accountants wa mashirika na senior management wanambinu za kupendezesha hesabu wanavyotaka wao na sio rahisi kubaini udanganyifu on the spot; ndio sababu ya kutunga hizo sheria za kurudi nyuma. Awakatai unaweza wapiga lakini wakikushika wanakagua miaka 5 nyuma, utalipa kodi na fines kama njia ya kuwafanya watu waogope hiyo michezo.

Sasa tazama pamoja na kwamba ni kawaida huko kwao watu kwenda jela kwa sababu ya kukwepa kodi, accountants waliosaidia kufungwa jela (wakati mwingine kuondolewa kibali cha kufanya kazi), kudaiwa kodi za nyuma na kulipishwa fines; depending na ukubwa wa kosa lenyewe lakini bado kuna mijitu inajaribu mpaka kesho.

Lakini sisi atutaki kuelewa kwamba kuna chances kubwa watu awaweki hesabu sahihi either kwa makusudi au kwa kutumia loopholes za kisheria; sasa raisi akitoka hadharani na kuropoka kama alivyofanya bi Tozo its just ignorance ya kutoelewa how things work na sababu zilizo nyuma ya hizo sheria.
 
Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa.

Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na punje ya haradani kuhusu masuala ya kodi ama hana kabisa.

Leo kampuni kubwa ya Mcdonald, imelipishwa zaidi Tsh Trilioni 2.5 za Kitanzania huko Ufaransa baada ya kugundulika imekua ikikwepa kulipa kodi kwa miaka 14 iliyopita. Mcdonald walikua wanachakachua hesabu na kuonyesha faida kidogo ili kukwepa kodi kwa miaka yote hiyo.

Sasa unajiuliza, iwapo Ufaransa wenye mifumo iliyoendelea bado makampuni yanatumia ujanja kukwepa kulipa kodi ila yakigundulika yanapelekwa mahakamani ana yanakubali kulipa bila kupelekwa mahakamani, kwa Tanzania watu wanakwepa kulipa kodi kisha wanaenda kuomba kwa rais wasilipe na rais anasema wasilipe.

Taifa ambalo haliko thabiti kwenye kukusanya kodi na mfumo wa kodi inaingiliwa na wanasiasa haliwezi kwenda popote.

Hii ndio matokeo yake tunayoyaona sasa, Rais wetu kwa kua hataki watu walipe kodi basi mbadala wake ni mikopo tu, kukopa tu. Tumeona kwenye bajeti yeye anawaza kukopa tuu.

Ndugai alisema ipo siku hii nchi itapigwa mnada na huo ndio ukweli.

Mifumo ya kudai kodi ipo kwa mujibu wa Sheria iliyoanzisha TRA. Sheria hiyo hiyo ilianzisha na Tanzania Revenue Appeals Tribunal (TRAT)

TRA wakati wa Magufuli walitakiwa washitaki wale wafanya biashara huku TRAT lakini kwa akili fupi za Mwendazake akamua kuwafuata na TASK Force na mabunduki. Hawa wanaolalamika kwa mama ni wafanyabiashara walioathirika na TASK FORCE.

Ni wakati sasa tukarudi kwenye mifumo sahihi ya namna ya kulipa kodi na kudeal na hizo arrears kupitia TRAT.

TRAT was established along with the coming into force of the Tanzania Revenue Authority (TRA) Act of 2000; which empowers the Commissioner General of TRA to deal and oversee all undersigned revenue laws .

In order to implement the policy of TRAT the Parliament enacted the Tax Revenue Appeals Act, Cap 408 [RE 2009], which establishes Tax Revenue Appeals Board and Tax Revenue Appeals Tribunal.

These Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) are quasi-judicial institutions, established under Sections 4 and 8 of the Tax Revenue Appeals Act, Cap 408 [RE 2009] respectively.
 
Hujui unaongea nini na pia hujui rais anaongea kitu gani ni bora uombe kuelewesha kuliko kuamka na uzi wa kukosoa bila ya kuwa n maarifa ya hicho ulichotaka kukiongea.

TRA walikuwa na mchezo wa kubambikia watu kodi za miaka ya nyuma. Kaka yangu mfanyabiashara ya utalii alichomekewa malimbikizo ya kodi za miaka ya nyuma ya shilingi milioni 250 wakati ushahidi wa risiti aliwaonyesha watu wa kodi ya mapato.

Akalazimika kulipa mara mbili, ule ulikuwa ni uporaji wa kimfumo, ambao marehemu JPM alikubaliana nao pengine kwa kutaka pesa za kumalizia miradi aliyoanzisha.

SSH amesema makusanyo ya kodi yasiwe ni yale ya miaka mitatu au minne nyuma, hao TRA walikuwa wanafanya nini wakati wote huo.?. SSH hataki kukusanya kodi ya dhuluma, hayo madeni feki ya miaka ya nyuma ndio dhuluma zenyewe hizo.
Hayo unayoyasema sio aliyosema SSH. Sisi tunajua SSH alisema wafanya biashara wasitizwe kodi zaidi ya mwaks mmoja nyuma
 
Mleta mada na wanaomdapot kama sio sukuma Gang basi ni watu wasioelewa chochote kuhusu hali ya Biashara ilivyokua katika hii nchi kwa miaka 7 iliyopita.
 
Wajibu wa kiongozi yeyote anayejitambua ni kusimamia (sio kukiuka) sheria zilizotungwa na bunge la nchi.
 
Back
Top Bottom