Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Man, listen up! This thing is getting outta hand now! Hii nchi yetu Tanzania, nchi ya amani, nchi ya watu wastaarabu — imegeuka kuwa uwanja wa political games and dirty power struggles! Na siyo hapa tu, Afrika nzima viongozi wamekuwa slaves wa tamaa ya madaraka! Wanakula, wananywa, wanaiba, na kusahau kuwa kila goddamn action ina consequences. Huwezi kumwaga damu za watu wasio na hatia na ukaexpect kustarehe bila malipo — Karma is a ruthless, it never forgets!
Sasa hivi tunashuhudia uchafu mchana kweupe! Uchafu wa kisiasa unaonuka kama sewer ya New York slums! Viongozi wetu wapo busy wakicheza chess na maisha ya Watanzania kana kwamba sisi ni damn pawns kwenye game yao ya kijinga! Hawa wanakataa kubadilisha Katiba kwa sababu wanajua clearly that once we have a REAL constitution — a strong, people's constitution — their thieving, lying, corrupt asses will be caged like the clowns they are!
Katiba mpya ni kama bulletproof vest ya mwananchi — inaleta usawa, inaleta accountability, inaleta haki ya kweli! Lakini hawa parasites wanajua kuwa Katiba imara ni sumu kwao, ndiyo maana wanafanya kila move dirty kutuzuia. They scared because they know their dirty secrets won't survive under a just system!
Look at how Paul Makonda — yeah, that loudmouth anatukanisha viongozi wengine kana kwamba leadership ni mtaa wa kwake! Simply because alipewa damn title ya Mkuu wa Mkoa, anajiona kama king! Anavua watu heshima hadharani, anawadhalilisha viongozi waliotumikia taifa kwa miaka mingi kama trash! Why? Because hakuna checks and balances. Hakuna Katiba yenye meno ya kung'ata hawa madogodogo wanaotumia vyeo kuabuse power zao!
Na bado... Wanaenda kwenye majukwaa wanatupiga porojo za "amani na utulivu" wakati wao ndo wanafanya nchi iwe unstable with their greed and power hunger! Watanzania hatupaswi kuendelea kunywa chai ya sumu kila siku tukiamini ni dawa!
Change is not coming... it is inevitable!
Na kila mtu aliyeko madarakani anatakiwa kuelewa hivi sasa: Muda wa mchezo umeisha.
Hii generation ya sasa — hatutachekwa, hatutadanganywa, na hatutarudi nyuma. Haki lazima ipatikane. Katiba lazima ibadilike. Usawa lazima urejeshwe. Na wale wote waliomwaga damu na kusababisha mateso kwa watu maskini, wasisahau: God’s judgment hits harder than a freight train.
The blood of the innocent cries louder than your fake prayers!
#KatibaMpyaSasa
#HakiKwaWote
#DownWithCorruption