Wakati umefika! Hatupaswi kuendelea kuvumilia upuuzi wa viongozi wetu

Wakati umefika! Hatupaswi kuendelea kuvumilia upuuzi wa viongozi wetu

Politics is a science,political science, it follows scientific principles, the scientific principle of change uses newtonian laws of motion,a body in motion,lazima kwanza kutokea force ili hiyo body iweze kumove, lazima kuwe na forces behind to trigger changes kutokea,kwa Tanzania hatuna hiyo force to trigger changes.

Ili kutokea changes za kweli,kuibadili CCM, lazima kwanza kutokea chama cha upinzani to replace CCM, its very unfortunately Tanzania hatuna chama cha kuireplace CCM!,hivyo CCM bado ipo sana tuu!。Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Wewe ni Masters of University Of Dar Es Salaam; lazima uliandika paper, dissertation, hivi hapo "The Scientific Principle uses Newtonian Laws of Motion, as body in motion" unaweza kutoa reference? Maana unapoandika mambo kama haya??
 
Katika vyote ila makonda wasipomuangalia anaharibu heshima yote ya serikali na kusukuma watu kudai katiba mpya , maana kuna watu unajiuliza wanakuwaje viongozi
Aisee inasikitisha, yani mtu kama huyu ana wakilisha sura ya serikali, alafu anafanya anavytaka, na viongozi wote wapo kimya, Inasikitisha sana! viongozi wote wastaafu wapo kimya.
 
Politics is a science,political science, it follows scientific principles, the scientific principle of change uses newtonian laws of motion,a body in motion,lazima kwanza kutokea force ili hiyo body iweze kumove, lazima kuwe na forces behind to trigger changes kutokea,kwa Tanzania hatuna hiyo force to trigger changes.

Ili kutokea changes za kweli,kuibadili CCM, lazima kwanza kutokea chama cha upinzani to replace CCM, its very unfortunately Tanzania hatuna chama cha kuireplace CCM!,hivyo CCM bado ipo sana tuu!。Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Kwa Mazingira ya Sasa replacement ya CCM ipo na imejionesha na hiyo ni Chadema chini ya Tundu Lisu
 
Man, listen up! This shit is getting outta hand now

Kama kinakukataa nawe pia, kikatae==== of ipo wapi hapo
Hii kenge haijui kbs lugha ya kibeberu..imekariri kimalkia cha darasani!
 
Ni vema kujikita kweny msingi wa andiko kuliko lugha wasilishwa japo sio vbaya kujikita kwenye lugha kwasababu kujifunza pia ni muhimu.

Kwa upande wa lugha nadhani sio kusema lugha ya hasira bali katumia Informal American English.

Kwenye andiko nadhani muandishi kaongea ukweli mtupu mithili ya kusema binadamu ameumbwa na pua moja japo kweny checks and balances zipo ndo maanab kuna certiorari,mandamus na prohibition japo sikatai compromising of the courts that undermine proper functioning of stated orders.
Nadhani wewe umeelewa vizuri sana, Ahsante kwa uelewa wako
 
Man, listen up! This shit is getting outta hand now! Hii nchi yetu Tanzania, nchi ya amani, nchi ya watu wastaarabu — imegeuka kuwa uwanja wa fuckin' political games and dirty-ass power struggles! Na siyo hapa tu, Afrika nzima viongozi wamekuwa slaves wa tamaa ya madaraka! Wanakula, wananywa, wanaiba, na kusahau kuwa kila goddamn action ina consequences. Huwezi kumwaga damu za watu wasio na hatia na ukaexpect kustarehe bila malipo — Karma is a ruthless bitch, it never forgets!

Sasa hivi tunashuhudia uchafu mchana kweupe! Uchafu wa kisiasa unaonuka kama sewer ya New York slums! Viongozi wetu wapo busy wakicheza chess na maisha ya Watanzania kana kwamba sisi ni damn pawns kwenye game yao ya kijinga! Hawa motherfuckers wanakataa kubadilisha Katiba kwa sababu wanajua clearly that once we have a REAL motherfuckin' constitution — a strong-ass, people's constitution — their thieving, lying, corrupt asses will be caged like the clowns they are!

Katiba mpya ni kama bulletproof vest ya mwananchi — inaleta usawa, inaleta accountability, inaleta haki ya kweli! Lakini hawa fucking parasites wanajua kuwa Katiba imara ni sumu kwao, ndiyo maana wanafanya kila move dirty kutuzuia. They scared as JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala because they know their dirty secrets won't survive under a just system!

Look at how Paul Makonda — yeah, that loudmouth son of a bitch — anatukanisha viongozi wengine kana kwamba leadership ni mtaa wa kwake! Simply because alipewa damn title ya Mkuu wa Mkoa, anajiona kama fuckin' king! Anavua watu heshima hadharani, anawadhalilisha viongozi waliotumikia taifa kwa miaka mingi kama trash! Why? Because hakuna checks and balances. Hakuna Katiba yenye meno ya kung'ata hawa madogodogo wanaotumia vyeo kuabuse power zao!

Na bado... Wanaenda kwenye majukwaa wanatupiga porojo za "amani na utulivu" wakati wao ndo mafuckers wanafanya nchi iwe unstable with their greed and power hunger! JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala that! Watanzania hatupaswi kuendelea kunywa chai ya sumu kila siku tukiamini ni dawa!

Change is not coming... it is fuckin’ inevitable!
Na kila mtu aliyeko madarakani anatakiwa kuelewa hivi sasa: Muda wa mchezo umeisha.

Hii generation ya sasa — hatutachekwa, hatutadanganywa, na hatutarudi nyuma. Haki lazima ipatikane. Katiba lazima ibadilike. Usawa lazima urejeshwe. Na wale wote waliomwaga damu na kusababisha mateso kwa watu maskini, wasisahau: God’s judgment hits harder than a motherfuckin’ freight train.

The blood of the innocent cries louder than your fake-ass prayers!

#KatibaMpyaSasa
#HakiKwaWote
#DownWithCorruption
👏👏👏👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸💐💐🌸🌸💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌼💐💐💐💐🌸🌸💐🌸🌸🌸🌻🌻🌻🌻🌻
 
Back
Top Bottom