Wakati umefika! Hatupaswi kuendelea kuvumilia upuuzi wa viongozi wetu

Na ukitoka hapa baadae unabragg ccm kuiba uchaguzi --- mkuu hivi umekumbwa na nini
 
Nchi gani duniani ina usawa lofa wewe. Nyie wafuasi wa Braza K na Mdudu akili kama nyumbu. Uko kwenye keyboard usiku una amani unatuma unyumbu wako.
 
There was a day kuna mjinga on this damna forum katika mada ya aina hii aliropoka tu like, "What happens kama nikienda front kisha nikapoteza maisha ntafaidika na nini ikiwa niliowaacha wataendelea kula maisha"? It like hakuwa anajua what he was fighting for.

Spirit ya aina hio ndio imetufelisha kiasi cha kwamba mtu mwenye guts hawezi kwenda front ikiwa kuna watu wako backyard staying lazy wakisubiri wapiganiwe.
 
Reactions: Lax
Naam ni changamoto -- movement ziendelee popote pale ,zisaidie kuchange mindset
 
In deed changes is inevitable
 
Katiba Mpya itakupa hela Hadi upate huo unapita usawa? 😆😆

Kwa mfano nikichagua au nispochagua hao viongozi wenu kwenye hiyo mnaita Katiba Mpya nitapata hasara gani? Kama tuu saizi Huwa Sina guts na Wanasiasa hasara ipi naipata?

Msikuze mambo ambayo hayana umuhimu sana Kwa Wananchi.
 
Ngoja wakuzingire
 
Utakuwa unapigwa miti huko sisiemu
 
Yeah yeah! guys are nuts about this Power game. On the ground they kill you for real bcoz of stupidity.
Niggaz gone dumb, they lost their minds to an extent they fear nothing about ending another mans life. They have been manipulated to the fullest
 
Bloody Bastard Son of a bitch!
 
Ulitakiwa kujibu hoja badala ya kutukana.

Katiba Mpya itakusaidiaje common mwananchi kuongeza pesa mfukoni?
Huwezi elewa kwa sababu hufikirii kwa kutumia ubongo bali unawaza kupitia tumbo. Unawaza posho wanazokupa Mboga mboga kupitia ufisadi na wizi kwa kuifanya serikali yote mateka wao huku raia wakiwa kama watazamaji tu wasio na ushawishi wowote.

Katiba mpya yenye maslahi na raia itabadilisha mambo mengi tu tusiyoyapenda in a very smooth and efficient way.

After effect ya hayo mabadiliko ndio italeta nafuu ya maisha na hata fursa za kiuchumi kuongezeka.
 
Katika vyote ila makonda wasipomuangalia anaharibu heshima yote ya serikali na kusukuma watu kudai katiba mpya , maana kuna watu unajiuliza wanakuwaje viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…