Wakati umefika! Hatupaswi kuendelea kuvumilia upuuzi wa viongozi wetu

Wewe ni Masters of University Of Dar Es Salaam; lazima uliandika paper, dissertation, hivi hapo "The Scientific Principle uses Newtonian Laws of Motion, as body in motion" unaweza kutoa reference? Maana unapoandika mambo kama haya??
 
Katika vyote ila makonda wasipomuangalia anaharibu heshima yote ya serikali na kusukuma watu kudai katiba mpya , maana kuna watu unajiuliza wanakuwaje viongozi
Aisee inasikitisha, yani mtu kama huyu ana wakilisha sura ya serikali, alafu anafanya anavytaka, na viongozi wote wapo kimya, Inasikitisha sana! viongozi wote wastaafu wapo kimya.
 
Kwa Mazingira ya Sasa replacement ya CCM ipo na imejionesha na hiyo ni Chadema chini ya Tundu Lisu
 
Man, listen up! This shit is getting outta hand now

Kama kinakukataa nawe pia, kikatae==== of ipo wapi hapo
Hii kenge haijui kbs lugha ya kibeberu..imekariri kimalkia cha darasani!
 
Nadhani wewe umeelewa vizuri sana, Ahsante kwa uelewa wako
 
👏👏👏👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸💐💐🌸🌸💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌼💐💐💐💐🌸🌸💐🌸🌸🌸🌻🌻🌻🌻🌻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…