Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Kwa Nini basi maslahi ya Zanzibar yasisimamiwe na Serikali ya Muungano badala yake Wana Serikali yao?Serikali ya Muungano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Nini basi maslahi ya Zanzibar yasisimamiwe na Serikali ya Muungano badala yake Wana Serikali yao?Serikali ya Muungano
Kwani kujiita watanganyika Kuna shida gani??So tukiita TZ bila Zanzibar nani atatuzuia, ni kosa, au tatizo nini nani atahoji is it us full independent state.
Sababu maalumu,Ile ni ndogoKwa Nini basi maslahi ya Zanzibar yasisimamiwe na Serikali ya Muungano badala yake Wana Serikali yao?
Tanganyika imekaa kienyeji Sana then tushaji brand Sana kama TZ na Duniani kokote ukisikia imetajwa aunkuhusishwa TZ kwa namna moja au nyengine ujue ni Mainland mpaka kwenye ishu za muungano ndio tunakumbuka kuna kitu kinaitwa Zanzibar kumbuka Zanzibar kaji-brand Kama Zanzibar Sasa sualanla wewe kukiuliza kabla ya kutaka Mainland tujiite Tanganyika WHY wakati huu wa muungano Zanzibar ajiite Zanzibar.Kwani kujiita watanganyika Kuna shida gani??
Sababu ni zipi??Ndio
Hadhi maalumuSababu ni zipi??
Ndogo kivipi?Sababu maalumu,Ile ni ndogo
Kuhusu mambo ya kujitangaza hapo labda. Lakini kusema eti Tanganyika imekaa kienyeji siyo sawa.Hayo ni mawazo yasiyo na Mantiki.Tanganyika imekaa kienyeji Sana then tushaji brand Sana kama TZ na Duniani kokote ukisikia imetajwa aunkuhusishwa TZ kwa namna moja au nyengine ujue ni Mainland
Kwani kuna jambo mahsusi nimelizungumzia?Ungeanza kwanza kusimamia migodi ya madini yote ya Tanganyika na mali zote zilizouzwa au unagaua baadhi ya mambo yanayokuchukiza.
Kivipi?Tanganyika itaua muungano...
Maslahi ya England kwenye United Kingdom yanasimamiwa na Serikali ipi? Maslahi ya Russia ndani ya (Russia) yanasimamiwa na Serikali ipi? Natanguliza shukrani.Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee.
Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa nini basi kusiwe na Serikali itakayosimamia maslahi ya Tanganyika?
England na Russia ni tofauti kabisa.Maslahi ya England kwenye United Kingdom yanasimamiwa na Serikali ipi? Maslahi ya Russia ndani ya (Russia) yanasimamiwa na Serikali ipi? Natanguliza shukrani.
Hujanijibu!England na Russia ni tofauti kabisa.
Kwani Muundo wao na wetu unafanana?
Umewahi kusoma kitabu cha "uongozi wetu na hatima ya Tanzania"? Cha Mwalimu?
Ukiwa Zanzibar unaiona Serikali ya Muungano kwa jicho la shirikisho, lakini ukiwa Tanganyika unaziona Serikali mbili zenye mamlaka kamili yanayofanana lakini yasiyolingana.
we kweli ni poyoyo, Tanganyika ndiyo Tanzania, maslahi yapi tena, ukiwa mpumbavu unazeeka na upumbavu wako hakuna wa kukufundisha hapa duniani. iliyokuwa Tanganyika ndiyo imevaa koti la muungano, ndio babalao inapigania maslahi yake kutoka kwa nani tena? Nigeelewa wazanzibari kulalamika maana wao wamenyanganywa sovereignty yao na mambo mengine km iliyokuwa taifa huru. Nchi hii haigawanyiki nyie makenge, km mmeshindwa kupata madaraka kupitia Tanzania msifikiri mtapata madaraka kupitia hiyo nchi ya kufikirika ambayo haitorudi tena kuwepo mpaka vilembwe vyenu. Mmezoea ubaguzi, na mkiendekezwa hamtaishia hapoKwenye mambo yanayohusu maslai ya wazanzibar kwenye muungano, wazanzibar huondoa tofauti zao za kichama na kiitikadi na kuwa kitu kimoja kutetea maslai ya wazanzibar, tofauti kabisa na huku Tanganyika inapotokea ukinzano wa kutetea maslai ya watanganyika, katika muungano watanganyika tunagawanyika ,wapo watakao kuwa upande wa Tanganyika na wapo watanganyika watakao didimiza maslai ya Tanganyika kwa sababu ya maslai yao binafsi
Nimesema mifumo yao haifanani na yetu.Hujanijibu.